Screen time- out yako umeiweka kwenye ON mode, na hiyo ndiyo inakupa hizo options za kuweka sekunde unazotaka. Unachohitaji kufanya hapa kwa sasa ni kuingia hapo hapo kwenye settings hizo hizo zilizokupa option ya kuweka ON mode, na badala yake this time uondoe ON mode na uchague OFF mode.Habari wadau..simu yangu display inazima zima na inachelewa sana kurudi kwenye hali yake ya kawaida yaani kuwaka tena.Sasa nimeamua kuweka screen timeout ya mwisho kabisa kwenye simu yangu ambayo ni 30 dk ili isizimezime .Sasa nataka kujua kama kuna jinsi ya kuongeza screen timeout zaidi ya hapo kitaalamu.Wanasayansi karibu au kama kuna solution nyingine ya kusaidia tatizo.
Screen time- out yako umeiweka kwenye ON mode, na hiyo ndiyo inakupa hizo options za kuweka sekunde unazotaka. Unachohitaji kufanya hapa kwa sasa , ni kuingia hapo hapo kwenye settings hizo hizo zilizokupa option ya kuweka ON mode, na badala yake this time uondoe ON mode na uchague OFF mode.
Ukiiweka kwenye OFF mode screen time-out itakuwa haipo tena na screen ya simu yako itakuwa inakuwa iko ON muda wote masaa 24
Nakupata ndugu sasa hiyo off mode jinsi ya kuipata ndio kashesheScreen time- out yako umeiweka kwenye ON mode, na hiyo ndiyo inakupa hizo options za kuweka sekunde unazotaka. Unachohitaji kufanya hapa kwa sasa , ni kuingia hapo hapo kwenye settings hizo hizo zilizokupa option ya kuweka ON mode, na badala yake this time uondoe ON mode na uchague OFF mode.
Ukiiweka kwenye OFF mode screen time-out itakuwa haipo tena na screen ya simu yako itakuwa inakuwa iko ON muda wote masaa 24
Hii nimeiona ila haina off mode ..natafuta sehemu ya kupata off mode kabisa..Setting - display
Unatumia Simu GaniHii nimeiona ila haina off mode ..natafuta sehemu ya kupata off mode kabisa..