Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Kwisha habari hapo ukizubaa Mambo yatahaeibika kabisaaaaa....Hapo vip!!
Kama kawaida binadamu huota ndoto mbali mbali lakini hii imetisha kidogo..
Leo nimeota nimesimama nje ya biashara yangu karibia na mlangoni..mara nikamuona nyoka anaingia ndani ya biashara yangu...kiukweli baadaya kushtuka usongizini nimekosa amani sana...
Nina imani humu kunawataalam mbali mbali..naombe tafsiri ya hiyo ndoto..na nitafanyaje..
HahahaaMimi leo nimeota radi zipo zinanyuka hatari. Yaani radi zilikuwa zinanyuka hadi socket breaker inaji-switch off.
Nyuka sanaaa
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Muacheni mzee wa watu apumzikeMkuu siku ukiota Jiwe amefufuka unitag
Utapumzikaje huku umepakana na mchwaMuacheni mzee wa watu apumzike
Uadui unakuingiliaHapo vip!!
Kama kawaida binadamu huota ndoto mbali mbali lakini hii imetisha kidogo..
Leo nimeota nimesimama nje ya biashara yangu karibia na mlangoni..mara nikamuona nyoka anaingia ndani ya biashara yangu...kiukweli baadaya kushtuka usingizini nimekosa amani sana...
Nina imani humu kunawataalam mbali mbali..naombe tafsiri ya hiyo ndoto..na nitafanyaje..
Njoo inbox nikuulize baadhi ya maswali ili kukupa maana kamili ya ndoto yako.Hapo vip!!
Kama kawaida binadamu huota ndoto mbali mbali lakini hii imetisha kidogo..
Leo nimeota nimesimama nje ya biashara yangu karibia na mlangoni..mara nikamuona nyoka anaingia ndani ya biashara yangu...kiukweli baadaya kushtuka usingizini nimekosa amani sana...
Nina imani humu kunawataalam mbali mbali..naombe tafsiri ya hiyo ndoto..na nitafanyaje..
nduguHao ni wale task force wa kukusanya kodi wa Magufuli wanakuja!
Naam ndugu!ndugu
kwema kabisa.. pita mtaa wa pili kuna salaamNaam ndugu!