Kwa uelewa wangu nyoka na mbwa hawana maana nzuri ktk ndoto hata ktk vitabu vya dini kiumbe nyoka anaelezwa ki ubaya hvo basi, kuwa makini sana na mtu yoyote utakaye mpa kazi au kijana wako maana inaonesha kuna ubaya unataka kuingia ktk kazi yako na huo ubaya unatoka nje, kama huja mueka mtu basi usifanye hvo futa kabisa huo mpango na akija mtu ana taka kazi kuwa makini au usimpe kabisa, nyoka- ubaya /shetani according to holy book
Note :mimi siyo mganga wala mtabiri , nimetafsiri ndoto tu, be careful ndugu