Naombe tafsiri ya hiyo ndoto. nitafanyaje?

Jitahidi tu kuwa na Amani ila uwe makini kwenye Biashara yako,uangalie ni vitu gani unavifanya ambavyo vinaweza kupelekea Biashara yako kuyumba au Upande wa nguvu za giza hizo siamini sana ila ujitahidi kuongeza imani yako kwa kumuomba Mungu sana.
Sawa
Asante mkuu..umenifungua
 
Pia ulipaswa umuue au umzuie kama aifanikiwa kabisa kuingia ndani kuwa makini yaani usikute unaye au pia angalia vizuri afya yako all in all kuwa makini mkuu kila la kheri
Asante kwa ushauri
 
Nyoka maana yake ni roho ya uchawi.
Kifupi ni kuwa kuna mtu ameamua aloge biashara yako usifanikiwe wala usipate wateja..

Ushauri

nenda kwenye maombi pia uwe unatoa fungu la kumi.
 
Ni pm nikupe mbinu Kama wewe ni mkatoliki hutajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…