Naomben Ushauri

Naomben Ushauri

Habar zenu wakuu,poleen na Mvua na Baridi.
Naomben Ushauri hapa ;Kuna Dem Nmemuacha Ila Kakatalia Nguo yangu anadai kuwa Ety Ni Kumbukumbu kwake.
Ongea naye mtaelewana tu,usimkwepe ongea nae utajua kwanini na kwa sababu gani.
 
Habar zenu wakuu,poleen na Mvua na Baridi.
Naomben Ushauri hapa ;Kuna Dem Nmemuacha Ila Kakatalia Nguo yangu anadai kuwa Ety Ni Kumbukumbu kwake.
Mzeya na wewe ujenge tabia ya kubaki nanchupi za mwanamke unayemgegeda....wajinga hawa wanaturoga sana ndio maana mie nabaki nanchupi zao nami nae da kilingeni kwa Mshana Jr

Jiandae kulogwa hapo
 
Inategemea na nguo gani. Kama ni jezi huwa hazirudishwi. Ndio maana unakuta tuna jezi za timu zote za england , spain na ujerumani😂😂. Ila kama ni boxa kitampata kitu😂
Aisee nmekwisha mm
 
Mzeya na wewe ujenge tabia ya kubaki nanchupi za mwanamke unayemgegeda....wajinga hawa wanaturoga sana ndio maana mie nabaki nanchupi zao nami nae da kilingeni kwa Mshana Jr

Jiandae kulogwa hapo
Mkuu Ndio Maana Mikeka imechanika😥
 
Inategemea na nguo gani. Kama ni jezi huwa hazirudishwi. Ndio maana unakuta tuna jezi za timu zote za england , spain na ujerumani😂😂. Ila kama ni boxa kitampata kitu😂
una experience yakutosha yani England, Spain na ujerumani bado na boxer halafu bado hutajaja timu za nyumbani!!.. nilikuwa nampango wakukutongoza lkn kwa haya sitaki uvae jezi yangu ya Madrid...🤣🤣
 
Umenikumbushaa mbalii,Demu sikumuuaga mapema kwambaa naondoka eneo husika sitarudi tenaa. Nikamfuuata jioni weee alipanikiii,nikamwambia twende geto tukalalee kwangu kesho nasepa...hahahaa akakubali akanibebea zawadi shuka leupeee🤣🤣akanipatia.

Balaaa nikajaaa asubuhi mtoto hataki niondoke,huku gari linataka kuondokaa mdaa umefika saa 11:30 gari saa 12 linaamsha,hapo kashika ufunguo nisitokee huku sijaoga mashinee inaunatoo wa asali tupu.

Nikampigia Kaka ajee amplease,akajaa mtoto hafunguii dadekii nilimind kinoma nikamzaba kofiii,Dah akaanza liaa .Balaa likageukia kwenye shart langu mojaa hivii ananiambia nataka uniachie ukumbushooo...uwiiii nilipambana wapi,mpaka nikaamua niache Mapenzi iwe vitaaa ya kumnyang'anya ndipo nikashinda ila zawadi yake nilichukua.Nikaondoka nikaachwa na gari nikapanda la saa2.

Mpaka Leo hua namkumbuka sana Rose wangu hakika alinipendaa Sanaa ila wasiwasi Akili sikutaka mwachia nguo kabisa kwa usalama wangu.Mungu ampe afya njema popote alipoooo.
 
Back
Top Bottom