Naombeni aina ya adhabu nje ya kumchapa viboko Mtoto 'Mtukutu' wa kati ya Miaka 7 hadi 9 tu

Naombeni aina ya adhabu nje ya kumchapa viboko Mtoto 'Mtukutu' wa kati ya Miaka 7 hadi 9 tu

Ok ,
Nimekusoma.
Nakusubiria Mirembe Dom au Kidongochekundu Unguja.
Endelea Kupuliza kwa bidii huo Msuba.

Hayo maeneo yote Mawili uliyoyataja hapa wataanza Kwanza kutangulia Kwenda huko Shangazi na Wajomba zako kisha Mimi nitakuwa wa mwisho.
 
Majibu....

  1. Ananikosea sana kwakuwa anaipenda sana Klabu ya Yanga na hasa hasa Mchezaji aliyetulaza mapema Simba SC Bernard Morisson.
  2. Namuadhibu ili aachane na Kumshabikia huyo Mchezaji ana ajikite zaidi katika Kuwapenda Wanasiasa John Magufuli na Tundu Lissu pekee.
  3. Wanaume tusiopenda Kupandwa hovyo Vichwani huwa hatufagilii ( hatupendi ) kabisa Kuishi na ama Wake au Wapenzi Wetu Nyumba moja.
  4. Jukumu la Kujua Ratiba zangu za Kuwepo au Kutokuwepo Nyumbani ni la Mpenzi / Hawara yangu labda kama nawe unataka uongeze idadi hiyo.
  5. Ninapokuwa nimempata tu Mwanamke wa Kumlala ( Kumtindua ) huwa nakuwepo Nyumbani Siku nzima na nikitoka jua Condoms zimeniishia.
  6. Kutoka ' Out ' anatoka sana tu kwani hata hivi sasa Mimi nipo ndani ( inside ) na Yeye yuko huko nje ( Out ) anawinda Mijusi aina ya Balangulu.
  7. Nipe Kipengele cha katika Biblia au Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kinachosema ni lazima Baba awe anamletea Mtoto wake Zawadi.
.peleke mwanao kwa yule golkipa wa simba anaemchezeaga vizuri bashite.
 
Akifanya makosa mnyime uhuru wa vile anavyopenda.
Mfano mimi nakumbuka nlikua nkiunguza maharage, au nachezea bakora zangu, alaf kwa siku hiyo habari ya kwenda kucheza na watoto wenzangu ndo inakua imeisha. Knachofata hapo naanza kutumwa kazi, mara kufagia ndani, kufua nguo zangu, kufagia uwanja, kuoga, nakaz zngne tu za ovyoovo, ilimradi tu nikose uhuru. Hiyo hali nlikua naichukia sana zaidi hata ya bakora. Kwaio ilinbdi niwe mpole sana sabab nkifnya kosa tu tayar iyo sku imeharibika na hapo mama ananiambia "skununulii chochote".

Kwa upande mwngne naona kma nlikua napata motivation pia, sabab mama alikua haachi kunletea chochote akitoka sokoni, mfno nguo, na vyakulavyakula ila akikuta nimeharib kaz, ile zawad aninyima. Kwaio nlijkuta najtaid sana niish vile anavotaka mama.
Nadhani hii ni adahabu nzuri zaidi[emoji1312]
 
Huna haki kumwadhibu huyo mtoto wa dada’ko, siku baba’ke (mlamu) akigundua utakuja kulialia humu.... subiri ukiwa mzazi utajua tu kulea.
 
Unamwambia aote jua na moto kwa pamoja wakati was mchana

Kama unakunywa gongo uwe unamiminia hata jet moja wkt wa mechi yanga or simba
 
Back
Top Bottom