Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu vip haitumii mb nyingi?Pakuaaaa live sports tv iko playstore,,,
hapana mkuu mb500 zinatosha kumaliza matchAsante mkuu vip haitumii mb nyingi?
Screenshort hiyo app tuwekee tuone maana zimo nyingiPakuaaaa live sports tv iko playstore,,,
KwakweliScreenshort hiyo app tuwekee tuone maana zimo nyingi
Nataka nicheki mpira wa chelseafc na Real Madrid app ipi ni nzuri nitakayoiangalia ambayo haitumii mb kubwa yaani iwe 500 MB kushuka chini naombeni wadau
Hiooo hapoo mkuuScreenshort hiyo app tuwekee tuone maana zimo nyingi
Sante ila inimefungua bado ina process za kuchagua nielezee vizuriHiooo hapoo mkuuView attachment 2185431
Click walipoandikaa LIVE FOOTBALLSante ila inimefungua bado ina process za kuchagua nielezee vizuri
Shukrani sana iko vizuri nashukuru Chama langu real Madrid tumeponyokaClick walipoandikaa LIVE FOOTBALL
Na hii nimetest nayo iko poa labda lughaNenda google andika yallatv
Sante ila inimefungua bado ina process za kuchagua nielezee vizuri
Kwenye playstore inagoma, usearch apk yake kwenye Google ndo inakubaliMkuu niweke link ya hii App, maana nimejaribu kuingia playstore but siioni.. iliyopo ni kama tofauti na hii