Naombeni app za kuangalia mpira live

Naombeni app za kuangalia mpira live

Pia liive football tv euro ipo vizuri sana haina buffering inapatikana play store
 
Mkuu, kwann hizi APK kutoka google (unknown sources) ukitaka kudownload Kuna ujumbe unakuja na Kusema App may be to harmful your phone.. hapa pananitia mashaka sana.. yaaan kudhuru Simu kivipi na kama ni hvyo ni njia gani sahihi ya kuondoka hyo kitu kisitokee..?
 
Nadhani haina shida maana app za namna hii nimekuwa nazitumia lakin sijawahi kupata madhara kwenye simu yangu
 
Uliangalia ligi gani hesgoal mkuu?

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Mechi ya real Madrid vs chelsea ni uefa champions league jana usiku. Ila ninapokaa mtandao upo slow sana hivyo ilikuwa ina nasa nasa nikabidi nitumie live football tv euro haikuwa ina nasa nasa. Kumbuka sio hesgoal bali ni hesgoal tv. Zamani tulikuwa tunaangalia kwenye hesgoal ila hawaoneshi wanaonesha kwenye hesgoal tv
 
HesgoalTv basi sawa mkuu

Back
Top Bottom