Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 479
- 727
Umemezwa na wimbo wa Roma Mkatoliki anaotaka apewe maua yakeLeo asubui mapema nlipoamka baada ya Salam alinitumia ujumbe kuwa ameota nimekufa na alkuwa anapeleka maua kwenye kaburi langu..
Kataa roho ya mauti japo sidhan kama ameota hivo pengine kakwambia ili apate attention yakoHabari za wakati huu ndugu zangu,
Naamini humu ndani watu Wana maarifa mbali mbali katika nyanja tofauti tofauti.
Nipo na mahusiano na mwanamke mmoja ambae nmezaa nae mtoto mmoja.
Siku ka mbili tatu nyuma nlikua nmetibuana nae ijapo sikuonyesha kwake ka amenikwaza Ila mawasliano nlipunguza kwa asilimia 80%.
Leo asubui mapema nlipoamka baada ya Salam alinitumia ujumbe kuwa ameota nimekufa na alkuwa anapeleka maua kwenye kaburi langu..
Imenishtua hivyo naombeni mnisaidie code za hii ndoto ya bibie juu angu..
Natanguliza shukrani.
Sometime ndoto waga znatoa taarifa au ujumbe fulani si kila ndoto ni ya kupuuzia mkuuNi ndoto tu. Hakuna kingine..... Dini zitatumaliza kwa kweli
Sdhani ka kuna haja ya adi anidanganye hivyo...relation Eti tumeijenga kuwa wazi ata ka jambo lnaumiza au linakera kiasi gn na siku zte yupo huru kuniambia au mie kuniambia chchtKataa roho ya mauti japo sidhan kama ameota hivo pengine kakwambia ili apate attention yako
Kataa roho ya mautiSdhani ka kuna haja ya adi anidanganye hivyo...relation Eti tumeijenga kuwa wazi ata ka jambo lnaumiza au linakera kiasi gn na siku zte yupo huru kuniambia au mie kuniambia chcht
Kwann mkuuNi onyo usimuache huyo dem ni wa kwako, unapata matatizo endando utafanya ivo, huyo demu ni amplifie
Hahah hayaUmemezwa na wimbo wa Roma Mkatoliki anaotaka apewe maua yake
Najtahd kwa kiasi chakeTunza mwanao mkuu naona unakwepa majukumu
Mbn mi ndo alkua anaomba nmsamehe Kama nmemkwaza tangu asubui...Maana yake ni mwisho wa mahusiano yenu. Hayo maua ni ishara ya kufikia tamati. Yeye anakuaga.
Wala usiwe na hofu hata kidogo.
Ilhali umezaliwa,mauti ni lazima.....kukataa kitu ambacho lazima utakutana nacho ni kuchosha akiliKataa roho ya mauti
Migongano tu ambayo ayaepukiki kwa bond yyt... automatic collisionKwani mmenuniana?
Exactly but sdhani ka ndoto imelenga mauti kweli japo hakuna kinachoshindkana..Ilhali umezaliwa,mauti ni lazima.....kukataa kitu ambacho lazima utakutana nacho ni kuchosha akili