Naombeni code za hii ndoto

Naombeni code za hii ndoto

Hamna ishu ni ndoto tu imani hizi aisee zimetuharibu sana
 
Wenye majina ya Mary wanakuwaga watata watata sana na asilimia kubwa hawawezagi kuishi na Mwanaume.😅😅😅
Mi naishi nae kitaalamu siku nkiona kirusi chcht hatokaa aniskie karibu yake hivyo tu..japo ntaumia
 
Ndoto ya kweli Huwa inajirudia more than three times. Ninachoona hapo anacheza na psychology Yako tu kwa kwa sababu Fulani Fulani.

Hata hivyo ndoto za aina hiyo humaanisha upo katika vita Kali na roho zinazotaka kuondoa maisha Yako au at least kuharibu kabisa msingi wa maisha Yako iwe kiuchumi au kiafya.

Dawa yake ni Moja tu; FANYA maombi ya nguvu na kufunga Ili kuvunja roho hizo. Hilo ni lazima liende sambamba na kutengeneza ama kuweka vizuri mahusiano Yako na MUNGU.

Maombi na kufunga vifanyike SIKU 7.
Nami naomba msaada,nimeoa mwaka 2012 naish na wife vizuri japo kutofautiana mara moja moja huwa hakuepukiki. Sasa tokea nimuoe tokea muda huo kila mwaka mara mbili hadi tatu lazima niote kuwa amenusalit na ameniacha.Hiyo ndoto huwa inaumiza sana ,je hiyo ndoto inaweza kuwa na maana gani?
 
Sema kaota Tena ndoto nyingine,usiku wa kuamkia leo
 
Attachments

  • Screenshot_20230421-202029.png
    Screenshot_20230421-202029.png
    26.2 KB · Views: 3
Nami naomba msaada,nimeoa mwaka 2012 naish na wife vizuri japo kutofautiana mara moja moja huwa hakuepukiki. Sasa tokea nimuoe tokea muda huo kila mwaka mara mbili hadi tatu lazima niote kuwa amenusalit na ameniacha.Hiyo ndoto huwa inaumiza sana ,je hiyo ndoto inaweza kuwa na maana gani?
Unamuwaza Sana mzee..mwambie aache tabia au mienendo inayokufanya ukose amani

Mpotezee Fulani hivii
 
Habari za wakati huu ndugu zangu. Naamini humu ndani watu Wana maarifa mbali mbali katika nyanja tofauti tofauti.

Nipo na mahusiano na mwanamke mmoja ambae nmezaa nae mtoto mmoja. Siku kama mbili tatu nyuma nlikua nmetibuana nae ijapo sikuonyesha kwake ka amenikwaza Ila mawasliano nlipunguza kwa asilimia 80%.

Leo asubuhi mapema nlipoamka baada ya Salam alinitumia ujumbe kuwa ameota nimekufa na alikuwa anapeleka maua kwenye kaburi langu.

Imenishtua hivyo naombeni mnisaidie code za hii ndoto ya bibie juu yangu. Natanguliza shukrani.

View attachment 2594332
Usharogwa kaa mkao wa kuelekea kibra,
 
Unataka msaada gani ?

Kututoa hiyo ndoto?

Huu ni uboya sasa
 
Back
Top Bottom