Naombeni connection ya kazi ya kupush hashtag

Nashukuru sana Mkuu I hope atanisaidia
Hao watakupotezea muda wako mtafute huyu dogo hapo pichani akupe ABC
Huyo ndio kunguni nambari wani humu jf kule x mtafute dada kitufe mwili gorofa ndio anaratibu mchongo huko Hila # Moja per day ikitembea vizuri unapigwa 20k
 
Attachments

  • 1000089312.jpg
    1000089312.jpg
    308.7 KB · Views: 3
Hao watakupotezea muda wako mtafute huyu dogo hapo pichani akupe ABC
Huyo ndio kunguni nambari wani humu jf kule x mtafute dada kitufe mwili gorofa ndio anaratibu mchongo huko Hila # Moja per day ikitembea vizuri unapigwa 20k
Huyo Dada ni mimilicious au??
 
Wakuu habari zenu

Kama Title inavyojieleza naombeni mwenye connection ya kazi ya kupush hashtag au kusukuma reli anisaidie
Hali ni ngumu sana tunapigana but nothing kwahiyo kama una connection na hiko kitu hapo juu nisaidie PM iko wazi

Elimu kidato cha 6
Now niko chuo
Nina akaunti X(twitter)yenye followers wa kutosha,fb,Instagram

Niwatakie siku njema
Mungu awabariki sana
Mara ya mwisho kupiga kipara lini?
 
Una nyash
Yaan una Yas ?
 
Back
Top Bottom