Naombeni Connection ya Kibarua Ndugu zangu I

Naombeni Connection ya Kibarua Ndugu zangu I

Babasukh

Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
5
Reaction score
4
Habari za Mwezi February wana-JF.!!

Ndugu yenu Nina changamoto ya Kodi, chakula (kwa mtoto na Ndugu zangu tegemezi na kwangu binafsi).

Naombeni mwenye kuweza kunisaidia kupata kibarua cha namna yoyote Ile; Muhimu kiendane na mapenzi ya MUNGU.

Nitashukuru nikipata Msaada .
✅Nina elimu ya kidato cha sita EGM (Sio kipaumbele kwangu)
✅Naishi Dar es salaam

Mbarikiwe Taifa la Mungu🙏
 
Nguvu zipo za kutosha?

Kama jibu ni ndio..tukutane kesho buguruni kwa bakhresa
Muda gani Mkuu
Barikiwa sana
 
Kigezo ni lazima awe Female.

Shukrani kwa kuonesha kujali
 
Back
Top Bottom