IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa
hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia.
Sasa kivumbi kipo hapa ambapo nimetoka kapa na nahitaji darasa kubwa Tu na wadau wengine pia watapata darasa
Nilita kununua oppo f11 ni ya mwaka 2019 sio ishu Sana kwangu japo ya muda
Nime stop Kwanza baada ya kutaka kujua ishu za procceser na cpu nimeona mitandaoni zinajadiliwa Sana hasa quora huko
Hii simu ina
mediatek6771 helio P70
core A75 n.k picha Kwa usaidiz chini
sasa ishu ni kwamba iyo helio P70 ni nzuri? Lakini pia ina
cortex A73 kama inavyo onekana hapo vipi inafaa na je ina nguvu kwenye simu? Iyo ni oppo f11
Tuje hapa kuna hii sijaijua system yake ipoje nimeona kwenye simu moja ya Vivo y27s
ishu ipo hapa nimezoea izo Ghelio na P hapa imekua tofauti core kuna ghz kryo 265 gold & GHz kryo 265 silver n.k hapo nimetoka kapa system ya hivi sijui ni ipi inafaa au ina nguvu gani kwenye simu
Kuna Vivo y27 ina helio G85 na cortex A73 hii nayo vipi ?
Pia ningeomba wadau mtujuze tusiojua kwamba ili angalau simu iwe faster na kuendana mifumo ya simu ya sasa inaanzia cortex ngapi? Na helio ngapi? Kuliko kwenda kuvamia vamia Tu simu ujui kama ita sapoti system za sasa au vipi wakuu naombeni darasa hapa kiongozi
Chief-Mkwawa na wengine ambao Wana fahamu shukrani.