Aje hapa ofisini kwangu atakuwa PA wangu. Mshahara 400kmzabzab Kuna dada anatafta ajira apa
Swali zuri,Kwanini usiplan project yako binafsi upate pesa?
Nenda VETA kwanza dadaNipo kahama ni binti wa miaka 27 ,Elimu yangu ni degree ya project planning lakini nikipata kazi yoyote halali nitaweza kufanya nashukuru.
Pisi kali hashiki jembe mkuuKupiga jembe unaweza?mana nayo ni kazi
Shauri zakePisi kali hashiki jembe mkuu
Sio kushiba wengi wenye negative comment ni majoblessDaah, hizo comment!
Alishiba hamjui mwenye njaa.
Hawajui tunasota na tunajaribu kutafuta Kila kukichaDaah, hizo comment!
Alishiba hamjui mwenye njaa.
Achana nao endelea kupambana utapata tu usjali.Hawajui tunasota na tunajaribu kutafuta Kila kukicha
JAMII FORUM SASA HV UTOTO NI MWINGI MPAKA INA KERA WALE WALIOKUWA FACEBOOK NAONA WAMEKUJA HUKU NDIO MAANA KUNA WAKONGWE SASA HV WANAISHIA KUSOMA TU WANAKAA KIMYA MAANA DAKIKA MBILI UKIJICHANGANYA UTACHEZEA MATUSI MPKA YA MAMA YAKO,SASA KM HIVI MTU ANASHIDA YUPO SERIOUS WENGINE WANAMDIHAKIDaah, hizo comment!
Alishiba hamjui mwenye njaa.
Ni kweli mkuuJAMII FORUM SASA HV UTOTO NI MWINGI MPAKA INA KERA WALE WALIOKUWA FACEBOOK NAONA WAMEKUJA HUKU NDIO MAANA KUNA WAKONGWE SASA HV WANAISHIA KUSOMA TU WANAKAA KIMYA MAANA DAKIKA MBILI UKIJICHANGANYA UTACHEZEA MATUSI MPKA YA MAMA YAKO,SASA KM HIVI MTU ANASHIDA YUPO SERIOUS WENGINE WANAMDIHAKI
Jisajiri kwanza humu kabla muda haujaendaNipo kahama ni binti wa miaka 27 ,Elimu yangu ni degree ya project planning lakini nikipata kazi yoyote halali nitaweza kufanya nashukuru.
portal.ajira.go.tz
Mtaani kunadatisha usione ni rahisi kwa kuambiwa ingia field uone, kingine sasa mambo yamegeuka zamani ilikua ukitaka kitu unasema kwa upole "naomba" au "tafadhari naomba unipatie" lakini sasa hivi ni opposite, everything have been changed ukitaka kitu unasema "nataka" au "emu nipatie" ni km Bwana Fulani Majestically ukianza na "naomba" au "tafadhari naomba" unaonekana km kwamba umepitwa na wakati na upo nyuma ya muda, dunia hii ni ya Wanamume sio Wanamume tu Wanamume Wapambanaji sijamtaja Mwanamke hapo means hayupo kwenye kundi la Wanamume elewa hivyo na yakupasa upambane vita vya kila namna [ielewe sauti yangu ni nzito inaongea na wewe] ili ufanikiwe kuuweka Mkate Mezani haijalishi umetumia mbinu ya namna gani iwe ya halali au iwe ya haramu ila tu Mkate umefika Mezani ukiendelea kusubiria na kuamua kipi ufanye na kipi usifanye time is moving very fast utaenda chini and nobody will help you 'cause nobody is with you, you're all alone, inuka tafakari tambua pambanua elewa changanua angalia mbele usidondoke maana kuna Shimo utatumbukia humo na ubakie humo humo, wapi? ShimoniJAMII FORUM SASA HV UTOTO NI MWINGI MPAKA INA KERA WALE WALIOKUWA FACEBOOK NAONA WAMEKUJA HUKU NDIO MAANA KUNA WAKONGWE SASA HV WANAISHIA KUSOMA TU WANAKAA KIMYA MAANA DAKIKA MBILI UKIJICHANGANYA UTACHEZEA MATUSI MPKA YA MAMA YAKO,SASA KM HIVI MTU ANASHIDA YUPO SERIOUS WENGINE WANAMDIHAKI
Project inaweza kuwa planned kwenye makaratasi ikakosa fundKwanini usiplan project yako binafsi upate pesa?