ibrahim143
Member
- Jun 15, 2026
- 25
- 45
Nipo Dar maeneo ya mbandeUko wapi
Sawa mkuu ila ningepata mawasiliano yao ingekuw vzr zaidiMfate Lucas Mwashambwa Tlaatlaah Yericko Nyerere wana ofisi zao za propaganda kikubwa Cv yao kuwa na simu janja kuitetea CCM
Ingia dm zao watakupa muongozoSawa mkuu ila ningepata mawasiliano yao ingekuw vzr zaidi
Ni ya haloteli mkuuHiyo namba ya mtandao gani?
Saw mkuuIngia dm zao watakupa muongozo
Kariakoo sehemu gani mkuu mana nimezunguka sanKabebe zege kariakoo
Ukikosa chapa mwendo na lapa mpaka masaki hukosi chaka la kujishikiza
Siku hizi kuna namba mpya za mitandao hadi sisi wazee tunaogopaNi ya haloteli mkuu
samahani hivi hapo unakua unaogopa nini hasa, unaugomvi na mtu humu? au unafanya vitu vibaya nje ya JF,, mfano ukimpigia ukampa mchongo atajuaje kama ni wewe mpka akufanyie ubaya?Siku hizi kuna namba mpya za mitandao hadi sisi wazee tunaogopa
Hiyo ni namb ang mkuu halotel hiyoSiku hizi kuna namba mpya za mitandao hadi sisi wazee tunaogopa
Naogopa kutekwa na uvccmsamahani hivi hapo unakua unaogopa nini hasa, unaugomvi na mtu humu? au unafanya vitu vibaya nje ya JF,, mfano ukimpigia ukampa mchongo atajuaje kama ni wewe mpka akufanyie ubaya?
hebu nifumbue macho mimi ni mgeni
Nitakupigia nikitoka msikitiniHiyo ni namb ang mkuu halotel hiyo
Saw mkuu ntashukuru san.🙏Nitakupigia nikitoka msikitini
Naogopa kutekwa na uvccm
Sababu wanakuwa nazo watekaji sio watekwaji.wakuteke kwa sababu gani?
kwahiyo wao wakikukuta tu barabarani wanakuteka?Sababu wanakuwa nazo watekaji sio watekwaji.
Ni sawa na Mzee Kibao aulizwe kwanini walimteka na kumuua.