Naombeni kazi, ndani ya miezi miwili nipate milioni 1

Udart

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
487
Reaction score
780
Niende kwenye mada samahani

Mimi niko Dar pls nahitaji kama kuna mtu anaweza kunisaidia kazi au kibarua nataka zile kazi ngumu lengo nataka nimake ndani ya miezi miwili nipate milioni moja so kama kuna mtu anaweza kunipa connection nitatoa hela ya maji pindi tu nikianza kazi nataka kazi ngumu yoyote yenye maslahi ila iwe ni halali asanteni mimi niko Dar.0617210049
 
Ujuzi wako eneo gani? Watu waone utatoshea wapi
 
Futa iyo “HALALI”

Get Rich or Die Tryn’.
 
ukipata nyingi nigawie na mimi huku mkuu wangu,,,
enwei kila lenye kheri kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…