Naombeni kazi, ndani ya miezi miwili nipate milioni 1

Naombeni kazi, ndani ya miezi miwili nipate milioni 1

Niende kwenye mada samahani

Mimi niko Dar pls nahitaji kama kuna mtu anaweza kunisaidia kazi au kibarua nataka zile kazi ngumu lengo nataka nimake ndani ya miezi miwili nipate milioni moja so kama kuna mtu anaweza kunipa connection nitatoa hela ya maji pindi tu nikianza kazi nataka kazi ngumu yoyote yenye maslahi ila iwe ni halali asanteni mimi niko Dar.0617210049
Tafuta mtu akukodishie toroli ujipange town pakia mizigo kuanzia asubuhi hadi usiku unajikuta unakunja 30000/day ukitoa ya mwenye toroli na kula weka 20000 take home ndani ya miezi miwili milioni 1200000 hujawa tajiri tu
 
Kazi ngumu umake 1 M!?
within 2 month!?
Labda useme wakupe tuu kazi ngumu yenye maslah mazuri angalau alafu hayo malengo yako uyainjike humo.

Au nakosea ndugu zangu!!!
Uko sahihi, vinginevyo pia kwa kipindi cha miezi 2 asiwe anakula, anaoga (gharama za usafi), asiweke vocha, asipande usafiri (nauli) n.k hapo kidogo atamudu kuitunza 1 mil ya malengo yake
 
Angetokea mtu kama Alan Sugar, angewasaidia sana vijana
You are fired ndio ilikuwa neno lake kuu kwenye program zake za Apprentice
 
Tafuta mtu akukodishie toroli ujipange town pakia mizigo kuanzia asubuhi hadi usiku unajikuta unakunja 30000/day ukitoa ya mwenye toroli na kula weka 20000 take home ndani ya miezi miwili milioni 1200000 hujawa tajiri tu
Hesabu zako sio kweli mkuu.

Unasema 30,000 per day ?
Mwenye toroli plus kula 10,000?
Saving 20,000.

Swali langu toroli unakodi kwa bei gani? Na kula unakula bei gani?
 
Back
Top Bottom