Excel VBA
JF-Expert Member
- Oct 27, 2025
- 966
- 2,211
haki ya mungu!Nakuja inbox bas tusije kua hua tunakosa kazi kizembe tuu!!!
haki ya mungu!Nakuja inbox bas tusije kua hua tunakosa kazi kizembe tuu!!!
Mmesha mchoka kijana wenu😂😂😂. Lakini kama yupo tayari apelekwe tuAu tumuonyeshe chimbo la Anko T 🤔🤔🤔🤔🤔
Kikubwa kijana atimize malengo yake 😊😊😊😊Mmesha mchoka kijana wenu😂😂😂. Lakini kama yupo tayari apelekwe tu
Basi apelekwe chaap.. Maana ataanza kutangaza "wale mablaza kavu sana"... 🤣🤣🤣Kikubwa kijana atimize malengo yake 😊😊😊😊
Asije kusema tulimnyima connection
ephen_ njoo uyaone mambo ya babu yakoMm km mzee nipo na ofa
View attachment 3597927
🙏🙏🙏
🙏🙏🙏Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
Naweza mkuuKariakoo shimoni utaweza beba mizigo heavy?
Mkuu mshana nakutegemea no yako nilipoteza na simuKazi zipo ni connection tuu.. Hiyo pesa anaweza kupata hata ndani ya week
Ogopa kazi unaulizwa kama ulishawahi fanyiwa operesheni au kuvunjika sehemu..Mzee wangu,kuna kiwanda cha nondo cha lake kiko kibaha,kwa siku 15k..ila naamini ndani ya siku moja tu utatema bungo mwenyewe, pale wanaajiri kila siku,sifa uwe na nguvu tu,akili mtatumia za incharge wako.
Du nina kovu la kuungua tu sio kuvunjika ila niko fiti mkuuUlishawahi fanyiwa operesheni au kuvunjika sehemu yoyote mwilini? Kama hujawahi kazi ipo mshahara mnono uwe na NIDA tu. Hata kama huna utafikiriwa.