Naombeni kazi, ndani ya miezi miwili nipate milioni 1

Mjini au wapi.! Huna kazi halafu uipate ghafla ikupe hela iyo

Sema kuna wachakata Donat town wengi tu unaweza kufaulu
 
Ulishawahi fanyiwa operesheni au kuvunjika sehemu yoyote mwilini? Kama hujawahi kazi ipo mshahara mnono uwe na NIDA tu. Hata kama huna utafikiriwa.
Du nina kovu la kuungua tu sio kuvunjika ila niko fiti mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…