Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Tafuta mtu akukodishie toroli ujipange town pakia mizigo kuanzia asubuhi hadi usiku unajikuta unakunja 30000/day ukitoa ya mwenye toroli na kula weka 20000 take home ndani ya miezi miwili milioni 1200000 hujawa tajiri tuNiende kwenye mada samahani
Mimi niko Dar pls nahitaji kama kuna mtu anaweza kunisaidia kazi au kibarua nataka zile kazi ngumu lengo nataka nimake ndani ya miezi miwili nipate milioni moja so kama kuna mtu anaweza kunipa connection nitatoa hela ya maji pindi tu nikianza kazi nataka kazi ngumu yoyote yenye maslahi ila iwe ni halali asanteni mimi niko Dar.0617210049
Huwezi pata kazi bila kuwa na msingiNdio maana nimetaka kazi sio kupewa
Kazi umepataDu nina kovu la kuungua tu sio kuvunjika ila niko fiti mkuu
Uko sahihi, vinginevyo pia kwa kipindi cha miezi 2 asiwe anakula, anaoga (gharama za usafi), asiweke vocha, asipande usafiri (nauli) n.k hapo kidogo atamudu kuitunza 1 mil ya malengo yakeKazi ngumu umake 1 M!?
within 2 month!?
Labda useme wakupe tuu kazi ngumu yenye maslah mazuri angalau alafu hayo malengo yako uyainjike humo.
Au nakosea ndugu zangu!!!
Bado mkuuKazi umepata
Utaweza kuhimili nina nch7Njoo geto chap
Mshana nakuomba PM mkuuKazi zipo ni connection tuu.. Hiyo pesa anaweza kupata hata ndani ya week
m1 kupata uongoMkuu hizo wanalipa 4000_7000
Naweza mkuu nipe ramaniKariakoo shimoni utaweza beba mizigo heavy?
Ya sh ngapNIpeni kazi namm jamani ila sio ya milion 1 kwa mwezi
BEgger cant be choosers... nipate hata 5000 tu yakuweka kwenye kibubu kwa siku sio mbayaYa sh ngap
VIp aina ya kazi...ungespecify angalau mkuu..pia location ya kazi.BEgger cant be choosers... nipate hata 5000 tu yakuweka kwenye kibubu kwa siku sio mbaya
Labda kuwa house girl na barmaid zingine zote zawezekanaVIp aina ya kazi...ungespecify angalau mkuu..pia location ya kazi.
Hesabu zako sio kweli mkuu.Tafuta mtu akukodishie toroli ujipange town pakia mizigo kuanzia asubuhi hadi usiku unajikuta unakunja 30000/day ukitoa ya mwenye toroli na kula weka 20000 take home ndani ya miezi miwili milioni 1200000 hujawa tajiri tu