Naombeni kazi, ndani ya miezi miwili nipate milioni 1

Naona wanakubeza mkuu, inawezekana kabisa kuingiza hiyo hela. Kuna mmoja kasema uende kkoo shimoni kubeba mizigo. Sio shimoni jaribu kwenda na mitaa wanayouza vifaa vya electronics na sendo. Wabeba mizigo wa kkoo biashara ikichanganya hawakosi 20k per day. Lamomy
 
Hata pale Mabibo soko la ndizi
 
kiongozi maranyingi kazi yeyote ile ngumu huwaga haina maslah kama unavyofikiria wewe

mfano: kubeba zege, kusukuma mkokoteni, kupasua mawe nk

kazi zenye maslahi ni kazi za kitaalam tu

sasa kama una utaalam vi vyema ukasema huenda ukampata mtu umu jf akavutiwa na utaalam wako akakupatia kazi ya maslahi hayo unayoyasema

ila kama hauna utaalam huo mshahara wa laki 5 utasubir sana
 
Asanteh mkuu nimepata sehem wanalipa 30k per day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…