Naombeni kazi ndugu zangu nipate pesa ya kulipa ada

Naombeni kazi ndugu zangu nipate pesa ya kulipa ada

Asante sana mkuu. Nasoma course ya banking and finance kwa ngazi ya degree. Faculty ni insurance and banking. Mpaka sasa ili niweze kuendelea na masomo inanipasa nilipie milioni moja na laki tatu na sitini kwa mchanganuo ufuatao;

Semester ya kwanza nilibaki na deni la 610000 na semester ya pili nilibaki nadaiwa laki saba na hamsini.

Semester inaanza lini? Vyakula na mengine utamudu?
 
Back
Top Bottom