Naombeni kazi, sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100%

Kithure

Member
Joined
Oct 20, 2024
Posts
7
Reaction score
10
Nipo kibaha,mwanaume 27YRS

Naombeni connection ya kazi yoyote niweze kuishi mjini wakuu,sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100% ila nina soft skills (driving,basic computer skills etc) na nina nguvu na akili timamu.

Katika harakati za kutoka magetoni nimetoka mkoani kuja mjini

Nb;kibaha ni mji wa viwanda lakini kwa mda huu mchache niliozunguka huko ni ngumu kupata bila connection,kama kuna anayeweza kunisaidia huko nitashukuru sana.
 
K

Kila la kheri mkuu
 
Unajua maana ya soft skills kweli??
 
Soft skills ni interpersonal skill ambazo zinakuwezesha kua mzuri kwenye mawasiliano, lobbying, teamwork, problem solving n.k.

Driving na computer siyo soft skills hizi ni technical skills.
 
nimekuelewa,asante
 
Back
Top Bottom