shukrani kiongoziUwe na bahati njema kiongozi.
Kila la kheri mkuuNipo kibaha,mwanaume 27YRS
Naombeni connection ya kazi yoyote niweze kuishi mjini wakuu,sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100% ila nina soft skills (driving,basic computer skills etc) na nina nguvu na akili timamu.
Katika harakati za kutoka magetoni nimetoka mkoani kuja mjini
Nb;kibaha ni mji wa viwanda lakini kwa mda huu mchache niliozunguka huko ni ngumu kupata bila connection,kama kuna anayeweza kunisaidia huko nitashukuru sana.
AsanteK
Kila la kheri mkuu
Unajua maana ya soft skills kweli??Nipo kibaha,mwanaume 27YRS
Naombeni connection ya kazi yoyote niweze kuishi mjini wakuu,sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100% ila nina soft skills (driving,basic computer skills etc) na nina nguvu na akili timamu.
Katika harakati za kutoka magetoni nimetoka mkoani kuja mjini
Nb;kibaha ni mji wa viwanda lakini kwa mda huu mchache niliozunguka huko ni ngumu kupata bila connection,kama kuna anayeweza kunisaidia huko nitashukuru sana.
okayUnajua maana ya soft skills kweli??
nimekuelewa,asanteSoft skills ni interpersonal skill ambazo zinakuwezesha kua mzuri kwenye mawasiliano, lobbying, teamwork, problem solving n.k.
Driving na computer siyo soft skills hizi ni technical skills.