Ngarumbe
New Member
- Feb 4, 2023
- 1
- 0
Mimi ni msichana miaka 30. Naishi Tabata Segerea.
Nilikuwa cashier wa kampuni kwa miaka 3 likatokea tatizo nikaomba ruhusa kurudi kawekwa mtu mwingine.
Naombeni kazi ya duka kkoo sijajuwa utaratibu wa kupata kwenye yale maduka au kama kuna mtu anakazi naomba ntaifanya kwamoyo wangu wote.
Nipo charming, customer care ya hali ya juu hutajutia boss wangu.
Naomba mnisaidie nimekuwa mtu wa kushindandani mpaka naona dunia chungu nadaiwa laki 3 kila nikifikiria nakosa pa kuanzia nisaidieni please please.