NAOMBENI KAZI YA KUFANYA USAFI

NAOMBENI KAZI YA KUFANYA USAFI

Takisha jolly

Member
Joined
Feb 4, 2018
Posts
27
Reaction score
20
Habari za weekend?
Mimi ni msichana
Naombeni kazi ya kufanya usafi
Nyumbani, restaurant, bar shuleni,ofisini na kwingineko
Napatikana Dar es salaam ukinihitaji karibu pm pia nafatilia comments
 
Back
Top Bottom