Mshana JrWana Kaka yao humu mtafute, sharti uvae kaniki wakati wa maongezi.
Unazunguka sana kwa hayo maelezo muoaji ni wewe mwenyeweKuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE.
Japo binadamu wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare ili ajue anaishi nae kwa namna gani.
🤣🤣Ninachojua hawa taco...
Ukimkuta mwenye ako na taco ujue kamiksi na kabila jingine...
Ndugu yako au ni wewe?. Huyo ni wewe ila fresh tuKuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE.
Japo binadamu wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare ili ajue anaishi nae kwa namna gani.
Wakwe zao kukuingilia ndoa yako hawajambo, so keep distance nao (wasikuzoee).Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE.
Japo binadamu wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare ili ajue anaishi nae kwa namna gani.