mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
hii sio kweliNinachojua hawana taco...
Ukimkuta mwenye ako na taco ujue kamiksi na kabila jingine...
hii sio kweliNinachojua hawana taco...
Ukimkuta mwenye ako na taco ujue kamiksi na kabila jingine...
nde jedi ja uko kayaMrewahaa..... Jahakoo...
usikutane nao wa huko kirangare na mvuntaNi mbilikimo
Mtu anaenda kupewa mzigo wala hajui chochote ,unakuta kazaliwa Dar mpaka kukulia hapa ila anapewa sifa za watu wanaoishi Kilimanjaro..inatakiwa ifanyike tafiti kuhusu kabila la mtu linavyohusiana na tabia yake,
ukizingatia siku hizi hatuishi kitamaduni sana,
halafu watu wa mijini hawako kimila sana kama wa vijijini.
Hii ni tabia toka lini 😅Ninachojua hawana taco...
Ukimkuta mwenye ako na taco ujue kamiksi na kabila jingine...
Hii ni tabia toka lini 😅
Ubinafsi, uchawi, mitishamba ndio vitu vyaoKuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE.
Japo binadamu wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare ili ajue anaishi nae kwa namna gani.
🤣🤣🤣usikutane nao wa huko kirangare na mvunta
Kibaka wangu Hujawahi pita na mpare utusaidie kutoa mwongozo!!??😊
Hapa kwenye "mambo mengine ni tabia bunafsi ya mtu" toa, weka " mambo mengine ni tabia yao ya jadi".Wanasifa nzuri tu ,bibi yangu ni mpare .
Mambo mengine ni tabia binafsi ya mtu.
Nimeokoka siku hizi...Kibaka wangu Hujawahi pita na mpare utusaidie kutoa mwongozo!!
Hallelujah. Glory be to GodNimeokoka siku hizi...
Alafu Wana Radha Ile mbaya .Ni wafupi
😀😀Alafu Wana Radha Ile mbaya .
Akikupenda kakupenda kweli .
Ugonjwa WA akili NI kitu cha kawaida kwao.