Naombeni kujua jamani

Kuna siku nilipigwa ban, nikapewa id ya kike nitumie ila ilikuwa inatumiwa na mwanaume. Huko pm sasa nilichekaaaa!! Watu wamejimaliza balaa🤣🤣🤣
Acha kabisa mkuu, id halisi za Ke jf ni chache na utazijua tu kwa jinsi wanavyoandika comments, kuna muda madumejike huwa wanajichanganya na kuandika kiume kabisaa, wanasahau codes 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…