zyuho
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 220
- 348
Mbona unachekaHahha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unachekaHahha
Yah natafuta mke mwenye jinsia me 😜Ndio ndio, vipi unatafuta mume
Ungepiga pesa 😂Kuna siku nilipigwa ban, nikapewa id ya kike nitumie ila ilikuwa inatumiwa na mwanaume. Huko pm sasa nilichekaaaa!! Watu wamejimaliza balaa🤣🤣🤣
Halafu silipendi hili neno jomoni 😃Umeisha puyanga tayari. WTF Jomon😏😏
😹😹😹 nyamwi naye kibuyu tyuuu.!!Nimecheka hadi watu wanashangaa, huyu ni member mzoefu humu, kaja na new ID tu. Haha
Acha kabisa mkuu, id halisi za Ke jf ni chache na utazijua tu kwa jinsi wanavyoandika comments, kuna muda madumejike huwa wanajichanganya na kuandika kiume kabisaa, wanasahau codes 😂😂Kuna siku nilipigwa ban, nikapewa id ya kike nitumie ila ilikuwa inatumiwa na mwanaume. Huko pm sasa nilichekaaaa!! Watu wamejimaliza balaa🤣🤣🤣
Already sir.Vishu Mtata is typing
Na hicho kitambi mtawezanaAtteeeeeeeeention!
Wote tulieni nimpokeee mgeni!
Hataniweza uyoNa hicho kitambi mtawezana
Ningeupload picha uone, sema Haina haja nihangaike kukuthibitishia Sina kitambee😁Na hicho kitambi mtawezana
HahhhaNingeupload picha uone, sema Haina haja nihangaike kukuthibitishia Sina kitambee😁
Nlijua tu ni wwHahhha
Nan ?Nlijua tu ni ww
Mi nataniaNingeupload picha uone, sema Haina haja nihangaike kukuthibitishia Sina kitambee😁
Upinde mmejazana huku sijui ndio mahali penu pa kujifariji🙆Yah natafuta mke mwenye jinsia me 😜
🤣🤣🤣🤣Acha kabisa mkuu, id halisi za Ke jf ni chache na utazijua tu kwa jinsi wanavyoandika comments, kuna muda madumejike huwa wanajichanganya na kuandika kiume kabisaa, wanasahau codes 😂😂
Dogo unamdanganya nani?Ningeupload picha uone, sema Haina haja nihangaike kukuthibitishia Sina kitambee😁
Niruhusu nije pm tubadilishane tupicha na ww unioneshe kitambi chakoDogo unamdanganya nani?