ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Nimesikia katika online TV moja kuwa timu ya Far Rabat ikinolewa na nabi kipara former kocha wa yanga , haitashiriki shirikisho kulingana na Sheria mpya , sote tunajua awali ilikuwa ilikuwa ukitolewa hatua hii unaangukia shirikisho kama ilivyokuwa Kwa yanga mwaka Jana.
Kwa anayejua atusaidie, pia hii itakuwa habari nzuri kwani Simba inayocheza Leo na power dynamo leo akifungwa anarudi nyumbani na hatashiriki michuano ya shirikisho hivyo nchi itatulia
Kwa anayejua atusaidie, pia hii itakuwa habari nzuri kwani Simba inayocheza Leo na power dynamo leo akifungwa anarudi nyumbani na hatashiriki michuano ya shirikisho hivyo nchi itatulia