Naombeni kujua utaratibu wa kuwa afisa usalama mahali pa kazi Kuna mambo mengi nayashuhudia mazuri na mabaya ila nimekosa platform

CAMANGA

Member
Joined
May 14, 2023
Posts
72
Reaction score
299
Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali)

Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa

Mwenye kujua anipe mwongozo
 
Unahitaji kutoa taarifa mbaya za hapo unapofanya kazi au unahitaji kuwa recruited kwenye taasisi husika ?
Tafadhali nijibu asap ,kabla uzi haujaharibika
 
Mwananchi yeyote au raia mwema anawajibika kutoa taarifa mahali husika jambo lolote linalohusiana na masilahi ya Taifa ambalo linaweza likahatarisha au kuchangia na kusababisha hatari kwa Taifa.

Kama upo ngazi ya serikali ya mtaa au Kijiji toa taarifa kwa mtendaji au mwenyekiti mtaa/Kijiji pia Kuna ngazi za kata na tarafa

Pia unaweza ukatoa taarifa katika ofisi ya mkuu wa wilaya au mkoa.

Kila Mtanzania ni macho macho.
 
Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali)

Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa

Mwenye kujua anipe mwongozo
Kama ww ni ke nicheck chap nakuunganisha kama ww ni me andaa mtonyo
 
Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali)

Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa

Mwenye kujua anipe mwongozo
Kutokujuwa tu utaratibu tayarí wewe upo out, hizo nafasi hazitangazwi, ni lazima uingizwe na mtu wa ndani ya idara.

Halafu piga mishe zako hamnà issue yoyote humo zaidi ya umbea tu.
 
Back
Top Bottom