Naombeni majina ya nyimbo nzuri RC

Mkuu nichekie na Hizi;
Tazama tazama - J.Mgandu
Meza ya Upatanisho - Majaliwa
Niruhusu Yesu wangu - Kidaluso.
Kama Paa - Idama
 
Mkuu hizi nyimbo zote naweza ku download wapi ? Manake nikiwa nasafiri njia nzima sitasinzia

you tube zipo zote hizo. tumia Vidmate kupata video, then ukitaka audio tumia Video to Mp3 converter.
 
Duuuuhh
 
kuna ule mmoja unaimbwaga kanisani kipindi mwaka mpya ukiingia....una neno "asante "ndani yake mwenye kuujua tafadhali

Sent from my H8402 using JamiiForums mobile app
 
Naomba kwaya ya "Pendo langu ninakupa kwa sababu wewe Bwana wangu uliniumba" kwa mwenye nayo
 
Kuna wimbo uliimbwa na kwaya ya mahenge inahusu watoto nimeisahau jina. Niliipenda sana

Na ile enyi watu wote pigeni makofi
 
Mkuu katafute mlipuko wa sifa ya mukasa youtube hutajuta bundle laki aiseeh
 
wimbo wa Bwana alikuwa tegemeo langu kwaya ya moyo safi wa bikira maria unga limited album ya watu hawatalingana please nauomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…