Naombeni majina ya nyimbo nzuri RC

Mwnye hizi nyimbo anisaidie. 1 shamba la mzabibu 2 Mungu ni upendo sijui ziliimbwa na kwaya gani. Me nilianza kuzisikia miaka ya nwanzoni mwa 90
 
Naombeni wimbo utunzi wake wa mwisho mwisho wa Victor Murishiwa unaitwa Sio Mkamilifu, "Ni kweli Bwana Mimi sio mkamilifu usiniache katika udhaifu Bwana"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ubarikiwe sana
 
,
 

Attachments

Reactions: Ctr
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…