Naombeni majina ya nyimbo nzuri RC

Mwenye wimbo ule Wa majivu. MWANADAMU KUMBUKA UU MAVUMBI NA MAVUMBINI UTARUDI!!
 
Naombeni mwenye nyimbo hizi
1. Wimbo Wa ubatizo unamaneno haya "Nguo hiyo nyeupe,Nguo hiyo nyeupe iwe ishara ya cheo chetu"

2. Mimi ni nani bwana
 
Naombeni mwenye nyimbo hizi
1. Wimbo Wa ubatizo unamaneno haya "Nguo hiyo nyeupe,Nguo hiyo nyeupe iwe ishara ya cheo chetu"

2. Mimi ni nani bwana
 
Naombeni mwenye nyimbo hizi
1. Wimbo Wa ubatizo unamaneno haya "Nguo hiyo nyeupe,Nguo hiyo nyeupe iwe ishara ya cheo chetu"

2. Mimi ni nani bwana
 
Mwenye wimbo Wa harusi una maneno MKE WAKO ATAKUWA MZABIBU!
 
i like this...hivi hatuna (WAKATOLIKI) website maalum au page kwenye website ambayo ina collection ya nyimbo kama ulivyozipanga hapo juu mdau?
 
Hizi ni baadhi ya nyimbo kwa ajili ya Kipindi cha Kwaresma, Wale wenye nyimbo tofauti na hizi ama zenye ubora zaidi naomba mziweke kwenye hii thread.
 

Attachments

Naombeni nyimbo zifuatazo
YEYE ASHINDAYE
LEO AMEZALIWA
TAZAMA MUNGU NDIYE ANAYENISAIDIA
 
"Malaika akawaambia msiogope kwa kuwa mimi nimewaletea habari njema, halleluyaaaa halleluyaaa halleluyaa haleluyaa"ambao anao please nauomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…