Naombeni makadirio ya gharama zifuatazo

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
Baada ya kujichanga changa hatimae nimetimiza mpango wangu wa mda mrefu wa kujikomboa na swala la usafiri mwezi huu, juzi nimekamata chombo changu rasmi..ni Toyota Opa nimeikwarua kwa jamaa yangu mmoja hapa mjini.

Kulikuwa na minor issues ambazo alinifahamisha juu ya gari na ambazo nime notice nikiwa na fundi nilieenda nae for checkup.

1. Mtetemo wa body gari ikiwa silencer, ila ikianza kutembea inakuwa freshi tu mpaka nikikaribia 3 RPM. Fundi aliniambia ni engine mount, na kweli ilionekana hata mpira wake wa juu umekatika pale ilipofungwa bolt.

2.Mguu wa kushoto una kelele flani ambayo ni stabilizer link inabidi kurekebishwa.

3.Silencer naona kama iko juu, nimetembea kilometre kama 600km baada ya kuichukua. Nikiwa zaidi ya speed 100-130 naona RPM inakimbilia 3

Hebu nipeni makadirio ya gharama ya kufuta hizo issues japo hazinizuii kutembelea gari.
 
Hata mke wako kuna watu hawampendi kabisa hata kumuona lakini wewe ndio umekufa umeoza hapo

Si kila unacho penda wewe basi kila mtu atakipenda na ndio maana hata mimi siipendi kabisa hiyo corolla 110 yaani siipendi hata kuiona
😂😂😂😂😂😂😂 oya.wana mmenichekesha kinoma,,,nipen.bas makadirio au anaemjua yule fund amtag hapa
 
Opa? Gari siipendi bora ungenunua corolla 110 gari ya kiume unanunuaje opa bhna dah
Hahaha Corolla AE110 ile gari jau sana, imekaa kama kifaru kimsingi siipendi na hata mifumo yake old school sana. EFI akati sahivi tuko vvt-i, valvematic na Hybrid.

Af kingine choice zilizokuwa zinanijia ni vibebi woka kitu ambacho sikuwa nahitaji. Nilitaka gari fuel efficient, yenye nafasi zaidi na nzuri hata kwa family pia jamii ya spacio,isis n.k
 
Hata mke wako kuna watu hawampendi kabisa hata kumuona lakini wewe ndio umekufa umeoza hapo

Si kila unacho penda wewe basi kila mtu atakipenda na ndio maana hata mimi siipendi kabisa hiyo corolla 110 yaani siipendi hata kuiona

Hahaha sasa mbona ume react sana bob, ndio ulimwengu ulivyo mm sipend opa wewe hupend corolla ndio maisha ila sasa umepanic
 
[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
mkuu nipe idea ya hio maswala, au huna uzoefu sana. Nataka nijue kabla sijaenda kwa fundi ili akiropoka bei nijue
 

Hapo sawa lakini hiyo opa nayo imekaa ki baby walker pia. Sema pambana nayo kipendacho roho
 
Hahaha sasa mbona ume react sana bob, ndio ulimwengu ulivyo mm sipend opa wewe hupend corolla ndio maisha ila sasa umepanic
mwana nipe uzoefu kidogo ili nikienda kwa fundi niwe najua kidogo hata bei isiwe ya kuropokwa japo nahisi havitazidi laki 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…