Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Baada ya kujichanga changa hatimae nimetimiza mpango wangu wa mda mrefu wa kujikomboa na swala la usafiri mwezi huu, juzi nimekamata chombo changu rasmi..ni Toyota Opa nimeikwarua kwa jamaa yangu mmoja hapa mjini.
Kulikuwa na minor issues ambazo alinifahamisha juu ya gari na ambazo nime notice nikiwa na fundi nilieenda nae for checkup.
1. Mtetemo wa body gari ikiwa silencer, ila ikianza kutembea inakuwa freshi tu mpaka nikikaribia 3 RPM. Fundi aliniambia ni engine mount, na kweli ilionekana hata mpira wake wa juu umekatika pale ilipofungwa bolt.
2.Mguu wa kushoto una kelele flani ambayo ni stabilizer link inabidi kurekebishwa.
3.Silencer naona kama iko juu, nimetembea kilometre kama 600km baada ya kuichukua. Nikiwa zaidi ya speed 100-130 naona RPM inakimbilia 3
Hebu nipeni makadirio ya gharama ya kufuta hizo issues japo hazinizuii kutembelea gari.