cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 325
- 1,130
Nahitaji kuanzisha biashara ya kukopesha fedha kisheria na wakopaji niwakopeshe online,na malipo pia wafanye through my bank account Sasa naanzia wapi ndo nashindwa kuelewa,50000 Liba 15,000,100,000 Liba 25,000 lakini kwenye form ya ukopaji nahitaji waweke na namba za nida je nitafanikisha kama unaweza nisaidia naomba Kuni pm unipe ushauri Zaid wa kuandaa izo form za online na kama nitaijika kwenda kwani Kusajiri hii biashara naomba maelekezo Asante🙏🙏🙏
Na mgambo wa kuzungukia wakopaji wasumbufuFungua kampuni na utafute kibali cha kukopesha toka bank kuu.
Fuata taratibu za nchi Kabla sheria hazijakufuata wewe
Na mgambo wa kuzungukia wakopaji wasumbufu
Fika BOT kwa Msaada zaidi maana mwishoni hua mnakuja kufungiwa na kukamatwa na polisiNahitaji kuanzisha biashara ya kukopesha fedha kisheria na wakopaji niwakopeshe online,na malipo pia wafanye through my bank account Sasa naanzia wapi ndo nashindwa kuelewa,50000 Liba 15,000,100,000 Liba 25,000 lakini kwenye form ya ukopaji nahitaji waweke na namba za nida je nitafanikisha kama unaweza nisaidia naomba Kuni pm unipe ushauri Zaidi wa kuandaa izo form za online na kama nitaijika kwenda kwani Kusajiri hii biashara naomba maelekezo Asante🙏🙏🙏
Atadundwa yeye na mgambo wake...🤣Na mgambo wa kuzungukia wakopaji wasumbufu
Atadundwa yeye na mgambo wake...🤣
Umenifata na huku mi sikupendi niache mama d...😂Ataambulia faini kubwa au kufungwa jela au vyote
Mpe hapahapa unataka ufanye kama yale mambo ya jana si ndivyo...?Karibu inbox nikupe mwongozo Japo kwa uchache
Nije na mimi😊Karibu inbox nikupe mwongozo Japo kwa uchache
DuuhMpe hapahapa unataka ufanye kama yale mambo ya jana si ndivyo...?
SawaPita huku
Microfinance Act and Regulations | MoF - Ministry of Finance
Microfinance Act and Regulations | Ministry of Finance Tanzania | Wizara ya Fedha Tanzaniawww.mof.go.tz
Kwa ushauri zaidi karibu inbox
KaribuNije na mimi😊
Pita huku
Microfinance Act and Regulations | MoF - Ministry of Finance
Microfinance Act and Regulations | Ministry of Finance Tanzania | Wizara ya Fedha Tanzaniawww.mof.go.tz
Kwa ushauri zaidi karibu inbox
We subiri getini Hadi mlinzi hakuruhusu😁😁Nije na mimi😊
Uko sahihiKama Una mtaji usikopeshe online
Fanya hivi nenda Pwani sehemu Ambayo Ina viwanda vingi uanzishe Biashara ya kukopesha .
Na uwakopeshe wanawake hasa wanaofanya Kazi kiwandani kwa Liba ambazo zipo kirafiki.
Tofauti na kuwaposhe watu wa online ambao hawatakulipa .
Watanzania kulipa madeni ni wagumu Sana Mkuu unahitaji umkopeshe MTU unayemjua physically