Choo cha master kitakusumbua, kivyovyote karo la choo litakuwa upande ambao kuna vyoo vingi, sasa choo cha master itabidi kiwe na chamber zaidi ya moja na pia kipo mbali na mahali ambapo unatakiwa ujenge makaro, kingine hakuna privacy ya chumba cha master, mlango wake unatazamana moja kwa moja na mlango wa jikoniNaombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi.
Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.
View attachment 2828021
Mbona kama ramani yanguNaombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi.
Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.
View attachment 2828021
Ramani upande wa jiko na stoo sijapaelewa siku hizi mambo ni open kitchen. Chukua mchoro huo utanishukuru baadaeNaombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi.
Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.
View attachment 2828021
Ahsante sana mkuu, hii kitu nilikuwa naihitaji hivi ilivyo ila sikuwa naweza kuielezea.Ramani upande wa jiko na stoo sijapaelewa siku hizi mambo ni open kitchen. Chukua mchoro huo utanishukuru baadae View attachment 2828059
Hakuna kitu sipend kama mtindo huu wa chumba cha chakula,ingekua vizur sana hii room ya kulia ingekua dinning halaf dinning yenyew ndo ikawa room ya kulala,hapo unafanya utundu kidogo tu inakua bonge ya raman.Ramani upande wa jiko na stoo sijapaelewa siku hizi mambo ni open kitchen. Chukua mchoro huo utanishukuru baadae View attachment 2828059
Kama una ramani nzuri nipeHakuna kitu sipend kama mtindo huu wa chumba cha chakula,ingekua vizur sana hii room ya kulia ingekua dinning halaf dinning yenyew ndo ikawa room ya kulala,hapo unafanya utundu kidogo tu inakua bonge ya raman.
Tatizo inakosa store tuRamani upande wa jiko na stoo sijapaelewa siku hizi mambo ni open kitchen. Chukua mchoro huo utanishukuru baadae View attachment 2828059