Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
Ndugu zangu,
Naomba msaada wenu. Mpenzi wangu, ambaye yuko mbali na mimi , alikuwa na ujauzito wa mwezi mmoja na wiki mbili.
Ijumaa iliyopita alienda hospitali akiwa ananyesha na kuambiwa kwamba mimba inataka kuharibika. Alipewa dawa, lakini baada ya kuitumia siku moja, mimba ilitoka.
Tangu Jumapili amekuwa na maumivu ya tumbo. Sasa kaniambia anahitaji kufanyiwa "Evacuation" na gharama yake ni laki tano. Naomba kujua, hii gharama ni ya kawaida?
Nina wasiwasi kwa sababu huyu binti sio mwaminifu linapokuja suala la pesa, na ni mtu ambaye anajifanya anajua kila kitu. Ingawa anasema amesoma afya, kuna vitu vingi havielewi.
Naombeni mawazo yenu kuhusu "evacuation" kwa mimba ya umri huo na gharama yake( makadilio)
Asanteni