Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
- Thread starter
- #21
Nimefanya hivyo mkuu.Mpe kiasi kidogo nyingine aongezee yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefanya hivyo mkuu.Mpe kiasi kidogo nyingine aongezee yeye
Atakunywa dawa shaur akoMtoto alitaka atuunganishe, sasa imeshatokea hivyo. Nitampatia hela ya mtibabu na akishakuwa sawa napotea kama mzimu.
jamaa apotee tu hapoMbaya hiyo
Anywe tu.Atakunywa dawa shaur ako
mdogo mdogo hakikisha chanzo cha kupotea kwako iwe kisababishi ni yeye na kwa ulivyosema mjanja mjanja redflag kibao sababu utaipata mapema kabisa.Mtoto alitaka atuunganishe, sasa imeshatokea hivyo. Nitampatia hela ya mtibabu na akishakuwa sawa napotea kama mzimu.
Mbio ndefu ila asipotee kipindi hiki itamtesa sana huyo kemjamaa apotee tu hapo
Namshauri aanze na hii,,alitaka kumtapeli kaenda hosp gharama sio io 500,000mdogo mdogo hakikisha chanzo cha kupotea kwako iwe kisababishi ni yeye na kwa ulivyosema mjanja mjanja redflag kibao sababu utaipata mapema kabisa.
Asante kwa ushauri mkuu! Siku nikiachana na hiki kichwa nitaenda nifanye sherehemdogo mdogo hakikisha chanzo cha kupotea kwako iwe kisababishi ni yeye na kwa ulivyosema mjanja mjanja redflag kibao sababu utaipata mapema kabisa.
Slowly but surelyMbio ndefu ila asipotee kipindi hiki itamtesa sana huyo kem
Mpaka hapo una kila sababu ya kujitenga nae, amani yako ni bora zaidi.Asante kwa ushauri mkuu! Siku nikiachana na hiki kichwa nitaenda nifanye sherehe
OfkoooziSlowly but surely
Ashindwe yeye tuNamshauri aanze na hii,,alitaka kumtapeli kaenda hosp gharama sio io 500,000
Evacuation ni Bure Bob arudi pale pale alipopima wakamwambia kuna hatari ya kuharibika au kama vipi mpe tu elfu thelathini ya soda ya atakaemfanyia..Ndugu zangu,
Naomba msaada wenu. Mpenzi wangu, ambaye yuko mbali na mimi , alikuwa na ujauzito wa mwezi mmoja na wiki mbili.
Ijumaa iliyopita alienda hospitali akiwa ananyesha na kuambiwa kwamba mimba inataka kuharibika. Alipewa dawa, lakini baada ya kuitumia siku moja, mimba ilitoka.
Tangu Jumapili amekuwa na maumivu ya tumbo. Sasa kaniambia anahitaji kufanyiwa "Evacuation" na gharama yake ni laki tano. Naomba kujua, hii gharama ni ya kawaida?
Nina wasiwasi kwa sababu huyu binti sio mwaminifu linapokuja suala la pesa, na ni mtu ambaye anajifanya anajua kila kitu. Ingawa anasema amesoma afya, kuna vitu vingi havielewi.
Naombeni mawazo yenu kuhusu "evacuation" kwa mimba ya umri huo na gharama yake( makadilio)
Asanteni
Huyu mwanamke basi tu! Sometimes sisi vijana ngono zinatupeleka vibaya. Huyu alitaka kunitapeli hadi hela ya posa, alinimbia posa yake ni 1M . kwa kadili ya mazingira ya kwetu posa umepigwa sana ni 500k.Namshauri aanze na hii,,alitaka kumtapeli kaenda hosp gharama sio io 500,000
Atakua zwazwaAshindwe yeye tu
Tena wa fimbo ya mbaliAtakua zwazwa
😂😂😂😂ila we jamaa uliamua tu kujimaliza,,hata uyo mtoto angezaliwa bora ungelea tu na sio kuoa uyo kiumbeHuyu mwanamke basi tu! Sometimes sisi vijana ngono zinatupeleka vibaya. Huyu alitaka kunitapeli hadi hela ya posa, alinimbia posa yake ni 1M . kwa kadili ya mazingira ya kwetu posa umepigwa sana ni 500k.