Naombeni mawazo yenu kuhusu "evacuation"

Huyu ni mwembamba ,lakini alikuwa anaishi na sister yake ambaye ni mnene na ana mtoto/watoto.
Huyo ni mnene. Mh... Anyways. Nilichogundua ni kuwa wengi hu-share mbinu za kutapeli wanaume. Huyo ninayekuambia alikuwa amefikia hatua ya kumchukuwa mtoto mdogo aliyezaa na jamaa, anampeleka hospital, anaongea na shoga yake ambaye ni nurse, wanamvalisha yale madude ya kupumulia (kumbuka haumwi hata kidogo) , anampiga picha, halafu anamtua jamaa ili atume fedha za matibabu. Na hata yeye alikuwa anajilaza kitandani, anawekewa drip ya uongo (hawachomeki ile sindano kiukweli), anapiga picha halafu anatuma ili apate fedha za matibabu.
 
Yesoooouh😱
 
Duh Sijajua Daktari Gani anamfanyia Au Nani anamfanyia Ila Kwa Mimi Ninavyojua Evacuation tunafanya Kwa Wateja (Waliopoteza Mimba au Wanaotaka Kufanya Abortion) beyond 14 Weeks mpaka Weeks 26 Hivi..

Chini ya Hapo Tunafanya Vacuum Aspiration Tu kwa Kutumia MVA tube...

Bei aliotaja kwa Dar Es salaam ni kawaida..
Ila Procedure Inapingana na Mimba Ya Mwezi mmja na wiki Mbili yaani wiki Sita..

Yaani Wiki sita Ufanye Evacuation badala ya MVA?
Sijajua Daktari anayemfanyia kwakwel..
Namshakende
 
Asante Dr ..kwa muongozo!
Yeye alikuwa ameniambia kuna nessi alikuwa amempigia, na akaambiwa anatakiwa afanyiwe evacuation.
Kinachonitatiza yeye ni CO, labda kama hayo mambo hayafundishwi huko kwenye vyuo vyao.
 
Huyo ni mnene. Mh... Anyways. Nilichogundua ni kuwa wengi hu-share mbinu za kutapeli wanaume. Huyo ninayekuambia alikuwa amefikia hatua ya kumchukuwa mtoto mdogo aliyezaa na jamaa, anampeleka hospital, anaongea na shoga yake ambaye ni nurse, wanamvalisha yale madude ya kupumulia (kumbuka haumwi hata kidogo) , anampiga picha, halafu anamtua jamaa ili atume fedha za matibabu. Na hata yeye alikuwa anajilaza kitandani, anawekewa drip ya uongo (hawachomeki ile sindano kiukweli), anapiga picha halafu anatuma ili apate fedha za matibabu.
Living satan kabisa
 
Pole sana ila ni unataka kupigwa pakubwa mno mno au unahela sana mpka akufanyie ivo
Asante sana mkuu. Hela sina, bado najitafuta . Baadhi ya mabinti wakiona tu kuna sehemu umejishikiza , wanawaza huyu mtu hela anayo, kumbe sio kweli.
 
Back
Top Bottom