Naombeni mawazo yenu kuhusu "evacuation"

Mtoto alitaka atuunganishe, sasa imeshatokea hivyo. Nitampatia hela ya mtibabu na akishakuwa sawa napotea kama mzimu.
mdogo mdogo hakikisha chanzo cha kupotea kwako iwe kisababishi ni yeye na kwa ulivyosema mjanja mjanja redflag kibao sababu utaipata mapema kabisa.
 
Evacuation ni Bure Bob arudi pale pale alipopima wakamwambia kuna hatari ya kuharibika au kama vipi mpe tu elfu thelathini ya soda ya atakaemfanyia..
 
Evacuation!!
Toka lini ikawa 500k? Akati haizidi hata 150k

Ila hapa unapigwa, ukute na mimba haikuwepo, au km ilikuepo basi kaitoa kusudi akupige pesa ndefu ya MVA. lol
 
Unapigwa mshamba wewe mimba ya wiki nne abortion yake si damu tu sasa MVA ya nini hapo apige antibiotics tu a ache wizi
 
Namshauri aanze na hii,,alitaka kumtapeli kaenda hosp gharama sio io 500,000
Huyu mwanamke basi tu! Sometimes sisi vijana ngono zinatupeleka vibaya. Huyu alitaka kunitapeli hadi hela ya posa, alinimbia posa yake ni 1M . kwa kadili ya mazingira ya kwetu posa umepigwa sana ni 500k.
 
Huyu mwanamke basi tu! Sometimes sisi vijana ngono zinatupeleka vibaya. Huyu alitaka kunitapeli hadi hela ya posa, alinimbia posa yake ni 1M . kwa kadili ya mazingira ya kwetu posa umepigwa sana ni 500k.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila we jamaa uliamua tu kujimaliza,,hata uyo mtoto angezaliwa bora ungelea tu na sio kuoa uyo kiumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…