Naombeni mawazo yenu kuhusu "evacuation"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila we jamaa uliamua tu kujimaliza,,hata uyo mtoto angezaliwa bora ungelea tu na sio kuoa uyo kiumbe
[emoji1787] Shinikizo la wazazi mkuu. Familia walipata taarifa kutoa aibu kama familia walitaka nifanye hivyo.
 
Evacuation!!
Toka lini ikawa 500k? Akati haizidi hata 150k

Ila hapa unapigwa, ukute na mimba haikuwepo, au km ilikuepo basi kaitoa kusudi akupige pesa ndefu ya MVA. lol
Asante kwa comment mkuu. Huyu mwanamke atakuwa na dalili zote za uchawi.
 
Yeye kila kitu anajifanya anafahamu! Hapa nimejichanganya kuna muda nawaza nakosa majibu. Nililazimika kumtolea posa kwasababu ya hiyo Mimba.
Yuko mkoa gani? Sound like someone familiar to me. Kuna deni mmoja namjua. Ana sifa hizo hizo. 1. amesoma mambo ya afya (japo ni kama kilaza wa mambo hayo na ni mbishi sana), 2. Huwa anajifanya mimba inataka kutoka hivyo inatakiwa dawa ya kuzuia 3. Ikitoa anadai fedha nyingi za kusafishwa. Kwa kifupi haaminiki. Pengine anaweza kuwa huyu. Na mbaya zaidi ana watoto japo akikutana na mwanaume huwa anadanganya hana.
 
Uko Tabora?
 
Huyu itakuwa ni pacha ake.Yupo Songea.
Itakuwa ni marafiki,kwasababu pigo ni hizo hizo.
 
 
Unapigwa mshamba wewe mimba ya wiki nne abortion yake si damu tu sasa MVA ya nini hapo apige antibiotics tu a ache wizi
Asante kwa comment!
Kuhusu antibiotics ameniambia amekunywa" metro na amoxicillin dose ya kwanza, lakini haijamsaidia! Kaanza dose ya pili ya metro na ampiclox".

Nimaelezo ambayo kanipati yeye ,lakini siamini kama amefanya hivyo.
 
nadhani linapokuja swala la afya ya mke wako na kama kuna maelewano ya maana mara nyingi unapaswa kuambatana naye kila hatua, unless otherwise kila mtu anaangalia mambo yake na mnapotezeana muda, kama unampenda lazma ujue hatua kama hzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…