Naombeni mawazo yenu kwa adhabu anayo staili Mwanamke msaliti iwe fundisho

Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance, chuo, na baada ya kuingia kazini baada ya masomo nikaanza taratibu za kutaka kumuoa). na nia na madhumuni yangu nilitaka kumuoa mwaka huu huu. uyu binti nimesha poteza pesa, muda na ata kuatalisha maisha yangu kwaajili yake,

uyu binti nilimkamata na ushaidi usio na shaka kuwa anatoka na mtu mwingine (ninaposema usio na shaka namaanisha sijamsingizia mungu shaidi), cha ajabu akawa anajihami wala ajaangaika kuomba msamaa wowote ule (sijamaanisha kuwa aombe msamaa turudiane hapa, ni ule msamaa wa kuonyesha tu amekosa ingawaje kila mtu anaweza kuendelea na maisha yake) ndugu zangu siku ile ile nili-stop kuwasilina nae. sikuwahi kumtafuta kwenye maisha yangu yote (namaanisha tangu siku ya fumanizi), nikili ndugu zangu nime-inverst sana kwake yule dada nimepoteza sana muda wangu, sikuwahi kuwaza kuoa au kuwa na mwanamke mwingine ukiachana na yeye, amenisaliti amenionyesha kiburi.

nina cha kumlipa uyu bi-dada, nimekaa nimetafakari sana kuhusu uyu dada kuna kitu anastahili akipate, kalma is bitch, kuna maneno wanasema "move on na uendelee na maisha yako wanawake wapo wengi" ni kweli ila kwangu nahisi uyu bi-dada kuna kitu anastahili nimuachie ili asije nisahau kwenye maisha yake, nae pia ajifunze kitu hapa ulimwenguni, naombeni ushauri wenu wakuu kipi nimpatie ili iwe kumbukumbu pekee ambayo itabaki kwenye maisha yake yote.

Nilisha mwambia mapema sana kuwa awe makini asije akajaribu kuni cheat kama anaona hana malengo na mimi aondoke mapema tu kwenye maisha yangu (ilikuwa mwaka wa 1, 2,3... kwenye mahusino yetu).
Sipendi kumpotezea mtu muda kama sina malengo naye, ila ili la mimi kupotezewa muda nahisi limeniuma mnoo, kupoteza gharama zangu kwake limeniuma mnoo, binti kunidharau limenisikitisha sana.

NOTE: KUAMBIWA MOVE ON, UKIACHA ACHIKA, WANAWAKE WAPO WENGI AYO YOTE NAYATAMBUA ILA KWENYE ILI NAITAJI KUPATA KITU CHA KU-APPLY KWA UYU BI DADA, ILI UKO ATAKAPO KWENDA AWE NA ADABU.

Kuna mdau nilisoma uzi wake unasema: Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Uyo mdau nilielewa kwanini alifanya ivyo, kuna ile feeling naipata kwa maumivu alio achiwa moyoni, nami naitaji kufanya kitu, najua wadau mliopo humu mtanipa mbinu mikakati mizuri ikawe fundisho kwa binti ambaye ni msaliti.

Mvunje miguu mjeruhi na uso hapo atahitaj mtu mwenye imani kubwa kumkubali wewe furaha yako ni kumuona anapoteza hapo itakua umeshinda[emoji57]
 
Tatizo letu mapenzi tunayaweka ni kama biashara, why uanze kujutia pesa yako je usinge poteza pesa yako usingejuta.Yaacheni mapenzi yafanye kazi yake we hapo ulikua hupendwi au ulikua unapendwa lakin pengine wwe ulipungua.

Muache mtoto wa watu tafuta wako wakukufaa naweza kuku shauri umvunje mguu je utamvunja kweli je ukisha mvunja utafaidika na nini cha maana?

Hua muda wa kutaka kumkomoa ni bora ukatumia kutafuta vizur vya kufanya.
 
Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance, chuo, na baada ya kuingia kazini baada ya masomo nikaanza taratibu za kutaka kumuoa). na nia na madhumuni yangu nilitaka kumuoa mwaka huu huu. uyu binti nimesha poteza pesa, muda na ata kuatalisha maisha yangu kwaajili yake,

uyu binti nilimkamata na ushaidi usio na shaka kuwa anatoka na mtu mwingine (ninaposema usio na shaka namaanisha sijamsingizia mungu shaidi), cha ajabu akawa anajihami wala ajaangaika kuomba msamaa wowote ule (sijamaanisha kuwa aombe msamaa turudiane hapa, ni ule msamaa wa kuonyesha tu amekosa ingawaje kila mtu anaweza kuendelea na maisha yake) ndugu zangu siku ile ile nili-stop kuwasilina nae. sikuwahi kumtafuta kwenye maisha yangu yote (namaanisha tangu siku ya fumanizi), nikili ndugu zangu nime-inverst sana kwake yule dada nimepoteza sana muda wangu, sikuwahi kuwaza kuoa au kuwa na mwanamke mwingine ukiachana na yeye, amenisaliti amenionyesha kiburi.

nina cha kumlipa uyu bi-dada, nimekaa nimetafakari sana kuhusu uyu dada kuna kitu anastahili akipate, kalma is bitch, kuna maneno wanasema "move on na uendelee na maisha yako wanawake wapo wengi" ni kweli ila kwangu nahisi uyu bi-dada kuna kitu anastahili nimuachie ili asije nisahau kwenye maisha yake, nae pia ajifunze kitu hapa ulimwenguni, naombeni ushauri wenu wakuu kipi nimpatie ili iwe kumbukumbu pekee ambayo itabaki kwenye maisha yake yote.

Nilisha mwambia mapema sana kuwa awe makini asije akajaribu kuni cheat kama anaona hana malengo na mimi aondoke mapema tu kwenye maisha yangu (ilikuwa mwaka wa 1, 2,3... kwenye mahusino yetu).
Sipendi kumpotezea mtu muda kama sina malengo naye, ila ili la mimi kupotezewa muda nahisi limeniuma mnoo, kupoteza gharama zangu kwake limeniuma mnoo, binti kunidharau limenisikitisha sana.

NOTE: KUAMBIWA MOVE ON, UKIACHA ACHIKA, WANAWAKE WAPO WENGI AYO YOTE NAYATAMBUA ILA KWENYE ILI NAITAJI KUPATA KITU CHA KU-APPLY KWA UYU BI DADA, ILI UKO ATAKAPO KWENDA AWE NA ADABU.

Kuna mdau nilisoma uzi wake unasema: Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Uyo mdau nilielewa kwanini alifanya ivyo, kuna ile feeling naipata kwa maumivu alio achiwa moyoni, nami naitaji kufanya kitu, najua wadau mliopo humu mtanipa mbinu mikakati mizuri ikawe fundisho kwa binti ambaye ni msaliti.
Shkh ni vyema tukaungana maana naenda kutoa fundisho mahali kwa takataka moja sema options ni makali sana.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mi naomba nipate tu picha halisi kwamba huyo manzi alianza vituko vituko au kakuchinjia baharini kmya kimya, na je mna umri gani kwa sasa wewe na yeye? Vipi alishaulizia habari za wewe kwenda kwao na ukapotezea? Mlikuwa mnaishi pamoja au kila mtu kapanga kwake? Calibre yake ipoje ni wale mademu wapole na wasikivu au much know flani wale opportunistic waliokaa kijanja janja? Hali ya mawasiliano yenu ilikuaje before where you good communicators au we ulimuachia mzigo wa kukupigia simu huku ukiwa busy mda wote tu? Ulikuwa unamsikiliza akili yake na kuitafsiri kwa yale ambayo alikuwa analalamikia? Yataje!

Hii itanisaidia kumchagulia adhabu inayomstahili!
 
@mods tuunganishie hizi nyuzi tutoe ushauri kwa pamoja
 
Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance, chuo, na baada ya kuingia kazini baada ya masomo nikaanza taratibu za kutaka kumuoa). na nia na madhumuni yangu nilitaka kumuoa mwaka huu huu. uyu binti nimesha poteza pesa, muda na ata kuatalisha maisha yangu kwaajili yake,

uyu binti nilimkamata na ushaidi usio na shaka kuwa anatoka na mtu mwingine (ninaposema usio na shaka namaanisha sijamsingizia mungu shaidi), cha ajabu akawa anajihami wala ajaangaika kuomba msamaa wowote ule (sijamaanisha kuwa aombe msamaa turudiane hapa, ni ule msamaa wa kuonyesha tu amekosa ingawaje kila mtu anaweza kuendelea na maisha yake) ndugu zangu siku ile ile nili-stop kuwasilina nae. sikuwahi kumtafuta kwenye maisha yangu yote (namaanisha tangu siku ya fumanizi), nikili ndugu zangu nime-inverst sana kwake yule dada nimepoteza sana muda wangu, sikuwahi kuwaza kuoa au kuwa na mwanamke mwingine ukiachana na yeye, amenisaliti amenionyesha kiburi.

nina cha kumlipa uyu bi-dada, nimekaa nimetafakari sana kuhusu uyu dada kuna kitu anastahili akipate, kalma is bitch, kuna maneno wanasema "move on na uendelee na maisha yako wanawake wapo wengi" ni kweli ila kwangu nahisi uyu bi-dada kuna kitu anastahili nimuachie ili asije nisahau kwenye maisha yake, nae pia ajifunze kitu hapa ulimwenguni, naombeni ushauri wenu wakuu kipi nimpatie ili iwe kumbukumbu pekee ambayo itabaki kwenye maisha yake yote.

Nilisha mwambia mapema sana kuwa awe makini asije akajaribu kuni cheat kama anaona hana malengo na mimi aondoke mapema tu kwenye maisha yangu (ilikuwa mwaka wa 1, 2,3... kwenye mahusino yetu).
Sipendi kumpotezea mtu muda kama sina malengo naye, ila ili la mimi kupotezewa muda nahisi limeniuma mnoo, kupoteza gharama zangu kwake limeniuma mnoo, binti kunidharau limenisikitisha sana.

NOTE: KUAMBIWA MOVE ON, UKIACHA ACHIKA, WANAWAKE WAPO WENGI AYO YOTE NAYATAMBUA ILA KWENYE ILI NAITAJI KUPATA KITU CHA KU-APPLY KWA UYU BI DADA, ILI UKO ATAKAPO KWENDA AWE NA ADABU.

Kuna mdau nilisoma uzi wake unasema: Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Uyo mdau nilielewa kwanini alifanya ivyo, kuna ile feeling naipata kwa maumivu alio achiwa moyoni, nami naitaji kufanya kitu, najua wadau mliopo humu mtanipa mbinu mikakati mizuri ikawe fundisho kwa binti ambaye ni msaliti.
Mchumba hasomeshwi
 
Mpeleke akaangalie wenzie waliopumzika kwenye shamba la Mungu. Umwambie na yeye ameshakaba kiwanja imebaki kuhamia tuu
 
Achana na huyo mwanamke for god let her go

Kuna siku utashangilia ushindi kwa kumuacha na Kuna siku atajutia kukupoteza.

Huna haja ya kumuonesha upande wa pili wa maisha yako,
 
Back
Top Bottom