Naombeni mawazo yenu kwa adhabu anayo staili Mwanamke msaliti iwe fundisho

........ adhabu atampa mungu labda wewe ufanye harakati za kumfikisha kwa mungu haraka.
 
Siku zote ulikuwa unaona baba mbaya kila wakikwaruzana na mama haya sasa jela hiyoo halafu we ni mahakama hadi jfanye hivyo nenda mahakamani watakusaidia ila jiandae kulipa fidia ya kunyandua
 
Embu achana na mtt wa watu endelea na maisha yako...mm nilidate miaka 12...twelve good years at the end of the day nikaachwa...I went mad thank God there was a pastor I was able to share my problem with alinifanyia counciling ya kutosha! Also my you g sis may God bless her nikapona maisha yakaendelea...so move on
 
pole mkuu, kwangu haiwezi kuwa ivyo, lazima nije na mrejesho hapa.
 
Achana naye na usijiumize moyo kwa kutaka kumbadili mwanamke mpenda uroda tabia.
No kama kumnyoa pundamilia nywele zote alafu kutegemea atakuwa sawa na Punda.
 
Mkuu inaonekanwa unahamu na jela

Acha nae tafuta mwengine Maisha yaendelee, Hasira siku zote hua ni hasara.
 
Mkuu inaonekanwa unahamu na jela

Acha nae tafuta mwengine Maisha yaendelee, Hasira siku zote hua ni hasara.
nakuahakikishia jera sita kwenda kabisa, ila taabu lazima aipate iyo nimeweka nadhiri kabisa ata kama itachukua mwaka mzima lakini lazima nimpige tukio zito
 
Wewe huna lolote roho inakuuma bado unampenda, na pia wewe utakuwa na mapungufu yako maana yeye hatujamsikia anasemaje kuhusu wewe.

Ushafeli, huyo adhabu yake ilikuwa kupiga mimba tu. Kesi ya kimkun*" Inamalizwa kimkun*"mkind*". Hajakuzidi ujanja Ila ulipunic ungekuwa mpole umvizie kiume.

Nakushauri bado nafasi unayo Rudi ukalielie mpaka alegee umkojolee mpaka mimba.
 
roho inaniuma kwa ushenzi alio nifanyia, sio kwamba nampenda
 
sababu umeshaamua kumuadhibu naomba nisichangie lolote huko sababu mimi siamini kwenye hayo masuala labda kama ni reflex action(umefumania hapo hapo na huwez control ufanyacho)
ingekua vinginevyo ningekwambia tu ach kumuwaza (kuwaza kumuadhibu maana yake bado unamjali na kumpenda wewe,acha hizo mambo)
 
adhabu yake ipo pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…