All the bestadhabu yake ipo pale pale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]embu weka tukiooo banaMie mwenyewe nataman ni post ila ngoja nikae na comment tu zitanipa cha kufanya[emoji23][emoji23]
Dawa mpe talaka tatu tu.Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance, chuo, na baada ya kuingia kazini baada ya masomo nikaanza taratibu za kutaka kumuoa). na nia na madhumuni yangu nilitaka kumuoa mwaka huu huu. uyu binti nimesha poteza pesa, muda na ata kuatalisha maisha yangu kwaajili yake,
uyu binti nilimkamata na ushaidi usio na shaka kuwa anatoka na mtu mwingine (ninaposema usio na shaka namaanisha sijamsingizia mungu shaidi), cha ajabu akawa anajihami wala ajaangaika kuomba msamaa wowote ule (sijamaanisha kuwa aombe msamaa turudiane hapa, ni ule msamaa wa kuonyesha tu amekosa ingawaje kila mtu anaweza kuendelea na maisha yake) ndugu zangu siku ile ile nili-stop kuwasilina nae. sikuwahi kumtafuta kwenye maisha yangu yote (namaanisha tangu siku ya fumanizi), nikili ndugu zangu nime-inverst sana kwake yule dada nimepoteza sana muda wangu, sikuwahi kuwaza kuoa au kuwa na mwanamke mwingine ukiachana na yeye, amenisaliti amenionyesha kiburi.
nina cha kumlipa uyu bi-dada, nimekaa nimetafakari sana kuhusu uyu dada kuna kitu anastahili akipate, kalma is bitch, kuna maneno wanasema "move on na uendelee na maisha yako wanawake wapo wengi" ni kweli ila kwangu nahisi uyu bi-dada kuna kitu anastahili nimuachie ili asije nisahau kwenye maisha yake, nae pia ajifunze kitu hapa ulimwenguni, naombeni ushauri wenu wakuu kipi nimpatie ili iwe kumbukumbu pekee ambayo itabaki kwenye maisha yake yote.
Nilisha mwambia mapema sana kuwa awe makini asije akajaribu kuni cheat kama anaona hana malengo na mimi aondoke mapema tu kwenye maisha yangu (ilikuwa mwaka wa 1, 2,3... kwenye mahusino yetu).
Sipendi kumpotezea mtu muda kama sina malengo naye, ila ili la mimi kupotezewa muda nahisi limeniuma mnoo, kupoteza gharama zangu kwake limeniuma mnoo, binti kunidharau limenisikitisha sana.
NOTE: KUAMBIWA MOVE ON, UKIACHA ACHIKA, WANAWAKE WAPO WENGI AYO YOTE NAYATAMBUA ILA KWENYE ILI NAITAJI KUPATA KITU CHA KU-APPLY KWA UYU BI DADA, ILI UKO ATAKAPO KWENDA AWE NA ADABU.
Kuna mdau nilisoma uzi wake unasema: Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua
Uyo mdau nilielewa kwanini alifanya ivyo, kuna ile feeling naipata kwa maumivu alio achiwa moyoni, nami naitaji kufanya kitu, najua wadau mliopo humu mtanipa mbinu mikakati mizuri ikawe fundisho kwa binti ambaye ni msaliti.
WATU WANAULIZA IWEJE NIMEKAA NAE MIAKA YOTE IYO NANE (8) UFAFANUZI WANGU NI HUU:
nimeanza nae mausiano tangu nikiwa kidato cha pili mkuu (2 years olvel), je ningemuoa baada ya kumaliza form four ili hali wote tulikuwa kwenye miangaiko ya kuisaka elimu, nikaenda advanvace (2 years), je ningemuoa wakati namaliza advance ambayo kwenye mahusino tulikuwa ni 4 years, jibu ni hapa, nimeenda chuo 3 years, jumla miaka 7 nipo nae, mwaka wa 8 nikaingia kwenye ajira na kutangaza nia ya kumuoa, hapo kosa langu ni lipi, maana naona nahukumiwa kwa kukaa nae miaka nane.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]embu weka tukiooo bana
Hahahaa sema kweliDah nimesoma comment nacheka saana. Ebu tutumie picha ya huyo dem tumuone, yaliomo yamo.
Ss km inajulikana hamna anaetulia mi nimemdanganya niniWe usimdanganye.!
Siku hizi hakuna demu ambaye anaweza kutulia na mtu mmoja
Wacha ujinga kijana. Nyie wachunga ngo'mbe kutoka legacy zone mna matatizo sana, yaani hamuwezi kabisa kuishi bila visasi-daah.nahisi nikifanya kitu moyo wangu utapona zaidi
Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance, chuo, na baada ya kuingia kazini baada ya masomo nikaanza taratibu za kutaka kumuoa). na nia na madhumuni yangu nilitaka kumuoa mwaka huu huu. uyu binti nimesha poteza pesa, muda na ata kuatalisha maisha yangu kwaajili yake,
uyu binti nilimkamata na ushaidi usio na shaka kuwa anatoka na mtu mwingine (ninaposema usio na shaka namaanisha sijamsingizia mungu shaidi), cha ajabu akawa anajihami wala ajaangaika kuomba msamaa wowote ule (sijamaanisha kuwa aombe msamaa turudiane hapa, ni ule msamaa wa kuonyesha tu amekosa ingawaje kila mtu anaweza kuendelea na maisha yake) ndugu zangu siku ile ile nili-stop kuwasilina nae. sikuwahi kumtafuta kwenye maisha yangu yote (namaanisha tangu siku ya fumanizi), nikili ndugu zangu nime-inverst sana kwake yule dada nimepoteza sana muda wangu, sikuwahi kuwaza kuoa au kuwa na mwanamke mwingine ukiachana na yeye, amenisaliti amenionyesha kiburi.
nina cha kumlipa uyu bi-dada, nimekaa nimetafakari sana kuhusu uyu dada kuna kitu anastahili akipate, kalma is bitch, kuna maneno wanasema "move on na uendelee na maisha yako wanawake wapo wengi" ni kweli ila kwangu nahisi uyu bi-dada kuna kitu anastahili nimuachie ili asije nisahau kwenye maisha yake, nae pia ajifunze kitu hapa ulimwenguni, naombeni ushauri wenu wakuu kipi nimpatie ili iwe kumbukumbu pekee ambayo itabaki kwenye maisha yake yote.
Nilisha mwambia mapema sana kuwa awe makini asije akajaribu kuni cheat kama anaona hana malengo na mimi aondoke mapema tu kwenye maisha yangu (ilikuwa mwaka wa 1, 2,3... kwenye mahusino yetu).
Sipendi kumpotezea mtu muda kama sina malengo naye, ila ili la mimi kupotezewa muda nahisi limeniuma mnoo, kupoteza gharama zangu kwake limeniuma mnoo, binti kunidharau limenisikitisha sana.
NOTE: KUAMBIWA MOVE ON, UKIACHA ACHIKA, WANAWAKE WAPO WENGI AYO YOTE NAYATAMBUA ILA KWENYE ILI NAITAJI KUPATA KITU CHA KU-APPLY KWA UYU BI DADA, ILI UKO ATAKAPO KWENDA AWE NA ADABU.
Kuna mdau nilisoma uzi wake unasema: Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua
Uyo mdau nilielewa kwanini alifanya ivyo, kuna ile feeling naipata kwa maumivu alio achiwa moyoni, nami naitaji kufanya kitu, najua wadau mliopo humu mtanipa mbinu mikakati mizuri ikawe fundisho kwa binti ambaye ni msaliti.
WATU WANAULIZA IWEJE NIMEKAA NAE MIAKA YOTE IYO NANE (8) UFAFANUZI WANGU NI HUU:
nimeanza nae mausiano tangu nikiwa kidato cha pili mkuu (2 years olvel), je ningemuoa baada ya kumaliza form four ili hali wote tulikuwa kwenye miangaiko ya kuisaka elimu, nikaenda advanvace (2 years), je ningemuoa wakati namaliza advance ambayo kwenye mahusino tulikuwa ni 4 years, jibu ni hapa, nimeenda chuo 3 years, jumla miaka 7 nipo nae, mwaka wa 8 nikaingia kwenye ajira na kutangaza nia ya kumuoa, hapo kosa langu ni lipi, maana naona nahukumiwa kwa kukaa nae miaka nane.
Mkubwa nimekusoma...maumivu yako si kupotezewa muda..ila ni maumivu ya kuachwa...najua unaona kakutusi..kwa kwenda na mwingine..ingali wewe ulijiona mmiliki...pole..what if angekufa...ungefanya revenge na mzee mauti? Ungejua yeye mchawi mla watu je? Ungemuua au ungemkimbia mwwnyewe? Kama muda wote mlitumiana muda..so no one to blame. Wakati uko nae na yeye ujue aliforego fursa zingine...may be better than u..ila kwa kuwa kakuacha sasa unaweza usifikirie.Amini nakwambia hilo lililokutokea si la ajabu hapa duniani na wewe si wa mwisho...acha kupanga revenge..haitarudisha furaha uliopoteza but rather maumivu zaidi hasa pale itapokuwa ni sawa na kumpiga teke chura..ukamuongezea mwendo. Nakushauri u-change ur focus for now...first kubali umeshaachwa..but that is not the end...angalia malengo yako ya maisha...what if you revenge ukaishia segerea...nani atakusaidia kufikia malengo yako ambayo ni mema na yenye furaha zaidi...je huko jera siutakuwa unajutia kitendo chako...achana na ujinga wa revenge..the best revenge ni yeye akuone hujatetereka...maana wengine ni magent wa ibilisi..wanakuja kufanyika kikwazo ktk mibaraka ya Mungu..trust me...ukichana na revenge na kutumia same energy kufocus ktk malengo yako...utapiga spidi ya maendeleo hadi ushangae. Utapata tu wa ubavu wako..usilazimishe mambo!Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance, chuo, na baada ya kuingia kazini baada ya masomo nikaanza taratibu za kutaka kumuoa). na nia na madhumuni yangu nilitaka kumuoa mwaka huu huu. uyu binti nimesha poteza pesa, muda na ata kuatalisha maisha yangu kwaajili yake,
uyu binti nilimkamata na ushaidi usio na shaka kuwa anatoka na mtu mwingine (ninaposema usio na shaka namaanisha sijamsingizia mungu shaidi), cha ajabu akawa anajihami wala ajaangaika kuomba msamaa wowote ule (sijamaanisha kuwa aombe msamaa turudiane hapa, ni ule msamaa wa kuonyesha tu amekosa ingawaje kila mtu anaweza kuendelea na maisha yake) ndugu zangu siku ile ile nili-stop kuwasilina nae. sikuwahi kumtafuta kwenye maisha yangu yote (namaanisha tangu siku ya fumanizi), nikili ndugu zangu nime-inverst sana kwake yule dada nimepoteza sana muda wangu, sikuwahi kuwaza kuoa au kuwa na mwanamke mwingine ukiachana na yeye, amenisaliti amenionyesha kiburi.
nina cha kumlipa uyu bi-dada, nimekaa nimetafakari sana kuhusu uyu dada kuna kitu anastahili akipate, kalma is bitch, kuna maneno wanasema "move on na uendelee na maisha yako wanawake wapo wengi" ni kweli ila kwangu nahisi uyu bi-dada kuna kitu anastahili nimuachie ili asije nisahau kwenye maisha yake, nae pia ajifunze kitu hapa ulimwenguni, naombeni ushauri wenu wakuu kipi nimpatie ili iwe kumbukumbu pekee ambayo itabaki kwenye maisha yake yote.
Nilisha mwambia mapema sana kuwa awe makini asije akajaribu kuni cheat kama anaona hana malengo na mimi aondoke mapema tu kwenye maisha yangu (ilikuwa mwaka wa 1, 2,3... kwenye mahusino yetu).
Sipendi kumpotezea mtu muda kama sina malengo naye, ila ili la mimi kupotezewa muda nahisi limeniuma mnoo, kupoteza gharama zangu kwake limeniuma mnoo, binti kunidharau limenisikitisha sana.
NOTE: KUAMBIWA MOVE ON, UKIACHA ACHIKA, WANAWAKE WAPO WENGI AYO YOTE NAYATAMBUA ILA KWENYE ILI NAITAJI KUPATA KITU CHA KU-APPLY KWA UYU BI DADA, ILI UKO ATAKAPO KWENDA AWE NA ADABU.
Kuna mdau nilisoma uzi wake unasema: Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua
Uyo mdau nilielewa kwanini alifanya ivyo, kuna ile feeling naipata kwa maumivu alio achiwa moyoni, nami naitaji kufanya kitu, najua wadau mliopo humu mtanipa mbinu mikakati mizuri ikawe fundisho kwa binti ambaye ni msaliti.
WATU WANAULIZA IWEJE NIMEKAA NAE MIAKA YOTE IYO NANE (8) UFAFANUZI WANGU NI HUU:
nimeanza nae mausiano tangu nikiwa kidato cha pili mkuu (2 years olvel), je ningemuoa baada ya kumaliza form four ili hali wote tulikuwa kwenye miangaiko ya kuisaka elimu, nikaenda advanvace (2 years), je ningemuoa wakati namaliza advance ambayo kwenye mahusino tulikuwa ni 4 years, jibu ni hapa, nimeenda chuo 3 years, jumla miaka 7 nipo nae, mwaka wa 8 nikaingia kwenye ajira na kutangaza nia ya kumuoa, hapo kosa langu ni lipi, maana naona nahukumiwa kwa kukaa nae miaka nane.
Fanya basi tuone[emoji57][emoji57]naitaji kufanya kitu na roho yangu ipoe
What can you do?...unaitafuta jela mark my words[emoji57]siangalia kuhusu yeye naangalia kuhusu roho yangu, naipa faraja roho yangu sitaki kujua yeye ana muda na mimi au hana muda na mimi, i dont care, but i need to do somthing
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji57][emoji57]sijawahi mkuu.
Hakukuua[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Samehe Mkuu...mapenzi yana mambo mengi.
Hata mm nimewai kutana na situation kama iyo...mm niliomba msamaha na kusema siwezi kuendelea tena lakini nilijibiwa hakuna msamaha mpaka kesho kwa Mungu.
Kisingizio kama mada yako eti kaniudumia Sana. Sikatai lakini je hakuwa ananikula [emoji17][emoji17]
Na mm nilijibu kibingwa poa tu Muamuzi wetu atakuwa Mungu
Kiruuuu [emoji848]ishu hapa sio yeye kuwa na hisia na mimi au kutokuwa, the main issue hapa nataka kumpitisha kwenye tanuru lenye doruba kali, haijalishi ataumia kiasi gani i dont care, ila hapa dhumuni kuu ni yeye lazima apate malipo ya usaliti