Naombeni mawazo yenu kwa adhabu anayo staili Mwanamke msaliti iwe fundisho

Nyinyi vijana tulishawambia muwe tayari kwalolote wanawake wengi wako hivo hata mnaoona wametulia kwenye mahusiano wengi wameanguka mara kadha kama hamko tayari kuvumilia au pindi wanapokili makosa yao jiandaeni kuharibu maisha yenu wanawake nidhaifu ukitaka kujua hilo jaribu kutongoza wake zawatu uone walivo rahisi kitendo cha kufikiria kisasi ni udhaifu
 
Kumbe sio chaguo lake
 
Mpeleke kwa mpalange
 
Pita nae ( nao ) Kwa Mpalange ( Rough Road ) tu Ndugu atabadilika na Kukuheshimu sana.
 
HAPA ULISEMA UMEKAA NAYE MIAKA MITATU.... Na ukatoa option za kufanya


Hapa ukishaeleza wasiwasi wako baada ya binti kupata chuo medicine miaka mitano. Na demu akimaliza chuo atakua na 32 years na bado mpo mikoa tofauti. Huoni ulijipalilia moto? Why alivyomaliza diploma hujaweka ndani kwanza azae ndio aende kusoma? Hao watoto wa st. Francis Ifakara watakua wanampelekea moto tu.


Mimi nakushauri achana nae tu. Na usijaribu kuendelea kumsomesha.

Ukiona roho ya kisasi inakuandama mlaghai mrudishe mahusiano then fanya revenge mbele ya watu wote....
 
Kua kama yanga na tumsemo twaoo...daima mbele nyuma mwiko.msemo huu wa yanga na kwenu wapenda nyumaaa.yanga ishatuambia mwikoo mbele daimaaaaa.mkuu we we geuka uwe mshabiki wa yanga..yani uwe muyanga huyo msichana utamuona daima mbele nyuma mwiko
 
Pole sana kaka kisa chako kimenisikitisha sana na kimrniumiza ila muachie mungu tu haukupangwa nae hakuwa wakwako huyo huenda ni mdangaji kama madanga wengine na tambua asira ni asara so achana nae wekeza kwingne
 
Juzi kuamkia ijumaa nimemgonga tena mke wa yule jamaa alinipokonya mchumba
 
Inawezekana wewe ndio una matatizo zaidi. Kama umefumania, humhitaji na hakuhitaji, ya nini kujiangaisha naye?

Embu waza tu, wazazi wake ambao wamekuwa wakimlea halafu wewe ukaanza kumharibu toka akiwa form two, nao wakuchulie hatua gani kwa kumharibu binti yao?
 
kuna mwingine huko ni lecturer, kapambana na kumgharamikia na kusomesha mchumba wake mpaka kahitimu chuo, aliwekeza ili amuoe.

Matokeo yake mwanamke kamaliza chuo, jamaa akakimbiwa badae anapewa taarifa mwanamke kaolewa na mtu mwingine,

jamaa mpaka leo hana mke, ni kama akili zilimruka baada ya kuachwa ila anaendelea na kazi yake fresh.

Mi naona ni ujinga tuu na kuwashwa na pesa, unajiaminisha vp 100% kwa mwanamke? tena ambae hujafunga nae ndoa na hujazaa nae?, asee vijana sijui mnakwama wapi. Hapo hakuna wa kulaumiwa ni uzezeta wako mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…