Naombeni mbinu za kumpata Mwanamke wa Ulaya

Naombeni mbinu za kumpata Mwanamke wa Ulaya

Wanajamvi najua itakuwa strange kidogo, kwasababu kila mtu katika maisha yake kuna kitu anaitaji kuki achieve.Na mimi kiukweli natamani kupata european woman wa kuzaa nae achana na io mi shangazi hapana kwakeli ni wale age ya kawaida tu.

Naisi hii ilisukumwa sana na mamdogo angu ambaye alibahatika kuzaa na European man,walibahatika kuzaa watoto wa 3 wa kike kiukweli wale madogo wapo 23, 25, 27 nimewazidi kidogo wote ila siku nilipokutana nao nilidhani sio ndugu zangu kwasababu walivyo nadhani wote tunaelewa light skins walivyo na mimi nikawa na shauku ioio baadae.

Sasa basi nisiwachoshe sana ila kiukweli naomba kujua kwa wale wakubwa zangu walobahatika kwenda mambele japo nilibahatika kwenda uko lakini nilikuwa 15 kutembea na ma mdogo tu na sikutilia maanani izo ishu. Kwahiyo wakubwa zangu naombeni kwasababu najua humu kuna watu washawai experience na kuzaa nao kabisa.

NB: Sio kwamba sina mapenzi na dada zetu wa kiafrika ninao upendo wa kutosha ila tu kila mtu ana goals zake na io ni moja wapo ya goals zangu.

Naruhusu negative na positive pia. NAWASILISHA 🙌
Ukisikia unyani ndio huu. Jipende ulivyo mtu mweusi kuowa au kuolewa na rangi nyingine ni unyani.
 
Ukisikia unyani ndio huu. Jipende ulivyo mtu mweusi kuowa au kuolewa na rangi nyingine ni unyani.
Kwani nimesema sijipendi kiongozi,sema tu nimevutiwa nao ila kwa bongo nimetafuta mpaka nipo ovwes
 
Si uongee na huyo ndugu ako akufanyie wepesi me mwenyew na Dada angu kaolewa na mzungu nikampanga kasema nisubir anafanya mambo
Nimefurahi kuskia kuwa na wewe una harakati kama zangu🙌,sio joseph2 kusema kuwa ni unyani wakati kila mtu ana malengo yake
 
Back
Top Bottom