Hua unauza kwa njia gani mkuu?Wazee niende moja kwa moja kwenye mada. Najishughulisha na kuuza used materials, furniture, electronics nk ( kwa asilimia kubwa Im a middleman)
Lakini hizi siku mambo ngumu asee[emoji19]. Naombeni mchongo wowote, fursa, biashara yoyote nipate angalau 15k (kula na emergency)
Ni hayo tu. PM yangu iko wazi
Sent using Jamii Forums mobile app
costa wanatoa 90 , na sasa level seats wamepunguziwa elfu 10 tu ...(jana nikiwa naelekea Tandika nimepiga sana story na dereva) level seats na anapelekea 80Ishu yako inategemea mambo mawili makubwa
1.Mazingira uliyopo
2.Mtaji
Mf ukinunua boda boda 2 ukawapa vijana kwa siku utapata 14,000/= boda 2 kuzinunua ni 4.8m -TVS
Ukifungua saloon 2 za kiume kwa 1.5m kwa siku utapewa 20,000/= kila saloon elfu 10.
Ukiwa na vijana watatu wa kuuza mayai...ukanunua baiskeli 2 kwa 120,000 kila moja na kuwa na mtaji wa 350,000/= sawa na trei 50 kwa siku kila trei ukapaga kiwango cha kawaida cha sh 1000 utapata elfu 50 vijana watatu posho plus msosi ni 15,000/= unabaki na 15,000/=
Ukinunua bajaj kwa 7.5m kwa siku utapata 15,000 unayoitaka
Ukinunua nisan au Costa kwa siku utapata around 40k to 50k
Swali hapo la muhimu Je una mtaji wa sh ngapi ?
Upo tayari kiasi gani kupambana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee niende moja kwa moja kwenye mada. Najishughulisha na kuuza used materials, furniture, electronics nk ( kwa asilimia kubwa Im a middleman)
Lakini hizi siku mambo ngumu asee[emoji19]. Naombeni mchongo wowote, fursa, biashara yoyote nipate angalau 15k (kula na emergency)
Ni hayo tu. PM yangu iko wazi
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nipo dar.nipe mchongoUpo mkoa gani?
mimi nipo dar.nipe mchongo
sina mtaji.vipi inahitajika mtaji kiasi gani?Mtaji wako kiasi gani?
Hht huku mambo hivyo hivyo we komaa huko hukoWazee niende moja kwa moja kwenye mada. Najishughulisha na kuuza used materials, furniture, electronics nk ( kwa asilimia kubwa Im a middleman)
Lakini hizi siku mambo ngumu asee[emoji19]. Naombeni mchongo wowote, fursa, biashara yoyote nipate angalau 15k (kula na emergency)
Ni hayo tu. PM yangu iko wazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya biashara ya Kandoro au juice ya matunda ingia front au tafuta dogo.GEMO natafuta hela ya kula na ya tahadhari endapo nitaumwa. Sina mtaji mkubwa, nina 20,000 tu hapa tena kesho itapungua nikinunua chakula
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wenye maduka ya iPhone au?
Songamano umekatwaza my friendChemsha kahawa uwe unatembeza maeneo yenye msongamano wa watu, asubuhi na jioni.
Mbezi - Kawe namba 1 walikuwa wanaleta 100 kwa sasa ni 50, kama tajiri hutaki wanapaki gari.costa wanatoa 90 , na sasa level seats wamepunguziwa elfu 10 tu ...(jana nikiwa naelekea Tandika nimepiga sana story na dereva) level seats na anapelekea 80
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee naona una data kamili. Nitalitafuta aisee kwa saloon mbili za kiume kwa sh 1.5m tuIshu yako inategemea mambo mawili makubwa
1.Mazingira uliyopo
2.Mtaji
Mf ukinunua boda boda 2 ukawapa vijana kwa siku utapata 14,000/= boda 2 kuzinunua ni 4.8m -TVS
Ukifungua saloon 2 za kiume kwa 1.5m kwa siku utapewa 20,000/= kila saloon elfu 10.
Ukiwa na vijana watatu wa kuuza mayai...ukanunua baiskeli 2 kwa 120,000 kila moja na kuwa na mtaji wa 350,000/= sawa na trei 50 kwa siku kila trei ukapaga kiwango cha kawaida cha sh 1000 utapata elfu 50 vijana watatu posho plus msosi ni 15,000/= unabaki na 15,000/=
Ukinunua bajaj kwa 7.5m kwa siku utapata 15,000 unayoitaka
Ukinunua nisan au Costa kwa siku utapata around 40k to 50k
Swali hapo la muhimu Je una mtaji wa sh ngapi ?
Upo tayari kiasi gani kupambana
Sent using Jamii Forums mobile app
Akipika maandazi anapiga hiyo hela kwa siku.doh unatafuta mchongo wa 15K per day kwa mtaji wa 20k, brother try another figure lamda 1.5k [emoji23][emoji23][emoji23]
acha utani mkuu, kwa mtaji 20k!?Akipika maandazi anapiga hiyo hela kwa siku.
Kikubwa atembeze kila mtaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ipo,maeneo ya stand
Kiongozi hivi pikipiki Aina ya SANLG kwa Sasa shilingi ngapi sokoniIshu yako inategemea mambo mawili makubwa
1.Mazingira uliyopo
2.Mtaji
Mf ukinunua boda boda 2 ukawapa vijana kwa siku utapata 14,000/= boda 2 kuzinunua ni 4.8m -TVS
Ukifungua saloon 2 za kiume kwa 1.5m kwa siku utapewa 20,000/= kila saloon elfu 10.
Ukiwa na vijana watatu wa kuuza mayai...ukanunua baiskeli 2 kwa 120,000 kila moja na kuwa na mtaji wa 350,000/= sawa na trei 50 kwa siku kila trei ukapaga kiwango cha kawaida cha sh 1000 utapata elfu 50 vijana watatu posho plus msosi ni 15,000/= unabaki na 15,000/=
Ukinunua bajaj kwa 7.5m kwa siku utapata 15,000 unayoitaka
Ukinunua nisan au Costa kwa siku utapata around 40k to 50k
Swali hapo la muhimu Je una mtaji wa sh ngapi ?
Upo tayari kiasi gani kupambana
Sent using Jamii Forums mobile app
unapaki gari jeuri hiyo unayo ? familia utailisha upepo?Mbezi - Kawe namba 1 walikuwa wanaleta 100 kwa sasa ni 50, kama tajiri hutaki wanapaki gari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe utaratibu boss inakuaje adi unafanya nao kaz hao jamaaa nipige iyo inshu au kama una connection naomba mkuuSio wenye maduka namaanisha akawe dalali kwenye hayo maduka ya iphone
Sent using Jamii Forums mobile app